Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Parimatch nimewambia me nakuja ofc zenu kuchukua hela sitaki ujinga, baada ya kusumbuana wasap huko wakanitumia kwenye email huu ujumbe,mtandao unasumbua vip nikitoa 5000/= inatoka ila sasa toa hata 160k uone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa wajinga wakubal tu wameliwa nahakikisha 300k yangu nimeyokula jmoss naipata tu
 
Ndio maana nawaambia watu kibongobongo bado premier na meridian bet zitaendelea kua kampuni bora kabisa za mda wote
 
Wakuu nashukuru jana haikuwa siku mbaya ila leo tuwe makini maana tunaweza kujikuta mitaji yote inarudi kwa Kanji. Watu wengi tulipata vituliza maumivu maana ni muda mrefu Kanji amekuwa akituchapa bila huruma:

View attachment 1270909
Wakuu tumshukuru Mungu wiki hii Kanjibai hajabana sana, walau tumepata panadol za kutuliza maumivu ya vitasa vya Kanji:
 
Wakuu mwenye link ya 22bet naomba anisaidie. Kwamaana nimejaribu kuitafuta kupitia chrome nimeikosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…