Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwenye mkeka ulioweka mechi ya madrid na mechi ya shakhta zile option zinamaanisha nini, nipe mwanga kidogo
Kwamba kipindi cha kwanza lipatikane goal lolote & kipindi cha pili yapatikane magoli mawili.n.b team yoyote ikifunga poa tu,goal hata zikidizi vipindi vyote sawa tu ili mradi magoli ya ingia cha kwanza 1 cha pili 2
 
Duuuu ilikuwa 4m hiyo hapo bado guigamp tu
 
daaaah umetoa aise
 
Huu mkeka ukitiki ntajiona ni fala wa mwisho. Asubuhi niliuandaa, mchana kazi zikabana nkasahau kuulipia. Ningejua bora ningeuweka humu wadau wampige mande kanji. Sio poa kabisa
Kweli lazima ujione fala wa mwisho maaana ubashiri wako umeenda vyema kabisa, siku nyingine jitahidi usisahau ku-share na sisi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…