Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbuka Kuna ushindi wa regular time na over time
 
Mkuu game za ice hockey ni sawa na game za fainali za soka. Lazma mshindi apatikane ama kwa regular au over time ikibidi penati

Lakini hii haikupi uhakika kama unavyodhani maana kila phase ina option zake tofauti

Ukicheza DC 12 regular time draw ipo
Ukicheza dc 12 over time draw ipo
Penati hainaga draw

Hakuna ulichokwepa mwendo ni ule ule tu, labda una bahati nayo tu
 
Wakuu tusaidiane mi nilibeti tu kujaribu volleyball ila mkeka ukatiki kipesa cha vocha sasa sijajua hata hizo under nilizoweka zimepatikanaje maana kila nikipiga hesabu sielewi hapo mwenye uelewa tusaidiane
 
Nawakumbusha tu wakamali wenzangu kama huna bando la kubetia pasi kupitia SPOTTPESA APP unaweza kutoa mikeka bila kuwa na bando so kazi kwenu wadau.
Na Vodacom nako unaperuzi sportpesa free bila data
 
Wakuu tusaidiane mi nilibeti tu kujaribu volleyball ila mkeka ukatiki kipesa cha vocha sasa sijajua hata hizo under nilizoweka zimepatikanaje maana kila nikipiga hesabu sielewi hapo mwenye uelewa tusaidianeView attachment 1273271
Kwenye mechi ya kwanza Set ya kwanza Ina 20:25 ukijumlisha hapo unapata 45 na we ulichagua under 46.5

Ya pili set ya kwanza imetoa 19:25, ukijumlisha unapata 44 ambayo iko chini ya 46.5
 
20+25=45 wewe uliweka under 26
19+25=44 wewe uliweka under 26

Angalia hizo no nilizo jumlisha ndio set ya kwanza. Jiongeze kwa kuangalia na za mkeka wako utapata majibu set zipoje
 
Mkuu mbona unanitukana kwani in kosa kuuliza kampuni unayotumia kubeti ice hockey mi natumia kampuni ya sportpesa hakuna hiyo option ya double chance kwenye ice hockey hukuwa na sababu ya kunituni unageniambia tu kampuni ila sio mbaya
kusema Kichwa chako hapo amekutukana? Je hauna kichwa?
 
Sawa mkuu kwa hiyo in kuangalia jumla ya seti ya kwanza tu
Kwenye mechi ya kwanza Set ya kwanza Ina 20:25 ukijumlisha hapo unapata 45 na we ulichagua under 46.5

Ya pili set ya kwanza imetoa 19:25, ukijumlisha unapata 44 ambayo iko chini ya 46.5
 
Wakuu nikiwithdroo kwa visa kadi na hela ikaja kwenye namba yangu ya visa card hela inatakiwa ikae muda gani kabla ya kutoa benk na kuja mkononi? Kwangu imekuwa ikirudi iliko toka baada ya muda fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…