Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting bana ni pasua kichwa yani. Basi tu wahuni tunakomaa iko siku kijani itawaka tu. Siyo kwa hizi nukta nyekundu.
 
Pole mke umechanika aisee
 
Mkuu siyo ndogo lakini uwe na uhakika mkeka kupita maana ukipitisha mikeka kama hiyo 4 au 5 kwa siku uko mbali sana
Odd 2,6 ni ndogo mkuu?

Mi ndio odd zangu hizo 2+

Mambo ya odd mlima siyawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…