Ni kweli mkuuuHuwa nawaambia watu hizi buku mbili, tano unazoliwa kila mara bora ujichange ifike laki mbili uanze kubet kisasa. Mimi bora nikae miezi miwili sijabeti mpaka nipate laki 2 ya mtaji. Otherwise nitamchangia muhindi tu.
Halafu betting inatengeza addiction kama ya mvuta unga. Ukiona unabet kila siku chukua taadhali mapema.
Game moja moja mkuuNa huwa unaweka game ngapi.. Hapo kwenye 0.5 na 1.5 over et chief
Yaani ile singe bet au unaselect game mona Mkeka mmoja then unaweka big stakeGame moja moja mkuu
Single bet, big stake.Yaani ile singe bet au unaselect game mona Mkeka mmoja then unaweka big stake
Anger kumaninazao wametoa cleansheet
Huo mkeka niliufanyia modification anger kaniua. Leo nayo ni sikuKwani ni timu moja tu ndo ilochana?
Premier bet, Parimatch, Playmaster &BetpawaWAKALI WA HIZI KAZI HESHIMA KWENU
LEO NAOMBA MNISAIDIE NI KAMPUNI IPI YA BET INA OPTIONS NYINGI NA NZURI
YENYE OPTION NYINGI
YENYE URAHISI WA KUTUMA NA KUTOA PESA, URAHSI WA KUJISAJILI
HATA KAMA NI YANJE LAKINI IWE INARUHUSU TRANSACTIONS KWA KUTUMIA MITANDAO YETU YA VODA,TIGO NA AIRTEL
NTAFURAHI SANA ENDAPO MTANISAIDIA WAKUU,JAPO MAKAMPUNI MATATU TUU...
Premier bet, Parimatch, Playmaster &Betpawa
Mapemaaaa sana Everton anakufaaaaLeo liverpool sio wa kumwamin double chance ni nzur sanaa
Nimejaribu kufuatilia game za everton vs liverpool, hii game n ngumu sana
Kampuni zenye masoko mengi ni kwa uzoefu wangu niWAKALI WA HIZI KAZI HESHIMA KWENU
LEO NAOMBA MNISAIDIE NI KAMPUNI IPI YA BET INA OPTIONS NYINGI NA NZURI
YENYE OPTION NYINGI
YENYE URAHISI WA KUTUMA NA KUTOA PESA, URAHSI WA KUJISAJILI
HATA KAMA NI YANJE LAKINI IWE INARUHUSU TRANSACTIONS KWA KUTUMIA MITANDAO YETU YA VODA,TIGO NA AIRTEL
NTAFURAHI SANA ENDAPO MTANISAIDIA WAKUU,JAPO MAKAMPUNI MATATU TUU...
Huuu mzigo umesukwa kweli Ku lost nimatokeo tu acha tuluke naoChukua pesa hii wewe wacha kuzubaaView attachment 1281455View attachment 1281456