Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama mnataka kujilipua kuna game ya Bayern kesho anakufa
 
Nilianza na buku 8 kwenye spin nimekula zaidi ya laki na 60 imekaa kwenye wallet.

Sina haja ya kugombana na makocha kutaka matokeo ni mwendo wa kuzungusha gurudumu.
Mkuuu kama hutajali nielekeze namana ya kutia stake uitakayo
 
Mkuu tusaidie link ya hii kitu, iko deep Sana huenda tukapunguza vipigo na vilio vya kanji! Tuko pending waiting for you mkuu [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…