Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ukiweza kuacha betting aise hata cocaine unaacha!! Ushauri wangu namna ya kupunguza betting naongea kwa experience yangu kuna kipindi nililiwa mpaka naikapata depression kabisa ni kawa addicted na live score
1. Ukiona unaliwa sana jaribu kupumzika kwa muda halafu usiwe mtumwa wa league moja zunguka dunia nzima kutafuta team
2.usilazimishe ku bet hata kama hamna team ,usi download livescore kwenyw simu yako trust me unaweza kuwa siku huna hata habari ya ku bet ukiashika simu tu ukaona ile app tatizo lazima uifungue hapo ndo shida bett kwa mipango fanya kama hii ni kazi
3.najua kuna wadau wengi tunaishi kwa ajili ya betting tena maisha mazuri tu ,cha msingi fanya betting kwa akili kusanya mtaji kidogo kidogo weka odds chache kupunguza risk ya kuliwa .
 
Nimeamka kuangalia mkeka wangu asee nimekuta kanji kashachukua chake.roho imeniuma. Ila nimeingia kusoma comments za wadau humu nimejikuta na cheka sana .
 
Hii wapi ?
 

Haya sasa walotaka mbinu mbinu tunazotumia ndio hizi
Make sure una ka mtaji
 
Leo nisiku nzuri lakini
Yaweza kuwa ngumu
Nyota ya Jinamizi la muhindi
Ikianza kufanya kazi Tuwe makini
 
kashasepa na kijiji kitambo mojomba ohooo, wenzio tunaanza njia mbadala ya kupat pesa hii bet hii kwanza inatufanya tusiwe romantic kwa madem zet,unakaa kimachalemachale mda wote kama nyani
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…