Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

So buku pale inasoma 1.2k..Mfano ikiliwa iyo then nakuja na mara mbili ya iyo
Ngoja tuambizane ukweli hili gurudumu lina asilimia 80 ya kukupiga na asilimia 20 kulipiga mi nimecheza kila option mpaka sasa niliamuwa tu acha nilitest kwa 15k na ukiamuwa kudoble rangi hakikisha una mtaji maana unaweza kuamuwa kuwa wewe ni black tu halafu usiamini red ikacheza Mara kumi hapo ndipo utajua maana ya gurudumu mi imenitokea hiyo
 
Kwahiyo nikiselect mfano black na ikaliwa naweka tena kwa black mpaka itapo tick,..Na vipi kuhusu hizo rang nyingine nfano green?..Iyo black ukipata inakupa kias gan?

Anza na buku buku select iyo black kama haijakuoa result una double ile ela na rangi moja ina odd ya mbili
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
Kweli kama huna mtaji kuna mda inaweza kukukomalia rangi aiji lkn haiwezi zidi attempts nne au tano rangi haijaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…