project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
Kweli kama huna mtaji kuna mda inaweza kukukomalia rangi aiji lkn haiwezi zidi attempts nne au tano rangi haijaja
Labda wewe mkuu utupe mbinu unazotumiaUkiujua uu mchezo waku spin utajilaumu sana kwann ulichelewa kuujua
Apa kila sec 10 unaingiza ela football somtym unaeza msubili ajax ad dakika90 nabado akazingua[emoji23][emoji23][emoji23]
waiting for money already booooomView attachment 1284237
Waiting for money huku ukijifariji [emoji23] (18+ website)
Naunga mkono hoja 100%Wakuu kichwa cha habari cha huu mkeka kinajieleza vizuri
Natamani wadau wa Casino wangefungua thread yao wakaiacha hii thread kwaajili ya SPORTS BETTING
Naona kama tunapoteza focus ya huu uzi sasa, jana karibu post zote zilikua zinahusu spin na sio kupeana tips
Namuomba sungusungu na mtaalamu mwenzake wafungue thread kuhusu spin ili kushare na wadau uzoefu wao tuweze kumpiga vizuri kanji
Inakua rahisi kama ukitaka spin unakwenda uzi husika na ukitaka sports betting unakuja uzi husika
No hard feelings, Nothing personal ni muona wangu tu
Usiseme Mara NNE au tank mi ilinikomalia nyekundu Mara kumi nikakaza roho nikasema Mara ya kumi na moja hii lazima Mara kuzungusha hivi si ikaja kijani badala ya nyeusi nikaaacha hapo hapo
Wakuu kichwa cha habari cha huu uzi kinajieleza vizuri
Natamani wadau wa Casino wangefungua thread yao wakaiacha hii thread kwaajili ya SPORTS BETTING
Naona kama tunapoteza focus ya huu uzi sasa, jana karibu post zote zilikua zinahusu spin na sio kupeana tips na maujanja yetu
Namuomba sungusungu na mtaalamu mwenzake wafungue thread kuhusu spin ili kushare na wadau uzoefu wao watu tuweze kumpiga vizuri kanji
Inakua rahisi kama ukitaka spin unakwenda uzi husika na ukitaka sports betting unakuja uzi husika
No hard feelings, Nothing personal ni muona wangu tu
Spin for everyoneView attachment 1284305
Wakuu kichwa cha habari cha huu uzi kinajieleza vizuri
Natamani wadau wa Casino wangefungua thread yao wakaiacha hii thread kwaajili ya SPORTS BETTING
Naona kama tunapoteza focus ya huu uzi sasa, jana karibu post zote zilikua zinahusu spin na sio kupeana tips na maujanja yetu
Namuomba Sungusunguu mtaalamu mwenzake wafungue thread kuhusu spin ili kushare na wadau uzoefu wao watu tuweze kumpiga vizuri kanji
Inakua rahisi kama ukitaka spin unakwenda uzi husika na ukitaka sports betting unakuja uzi husika
No hard feelings, Nothing personal ni muona wangu tu
[emoji23] nataka siku moja niandae battle Mimi na
jimmy yeye aspini Mimi niende inplay(live betting) jimmy naomba kubali hii battle
Tupange na siku kbsaa
Na utasema target iwe ni kiasi gani kufijisha kwa mda ganiMyself kuliko kwenda spinng bora nikapge kwa logic inplay
ii nmeicheza casino inaitwa uropean roulette n atar uu mchezo unapuna ata m1 kwa sekunde unaeza jaza black na red ikaangukia kijan ofa[emoji23][emoji23][emoji23]
Pale kuna spin aina mbili...kuna royale na ile nyingine.So ipi iko poa zaid?
Apa ndio mahala kila mmoja anaweza jifunza tip yoyote as long as ni betting mkuu
Cc lengo nimoja kumchakaza muhindi wekausha tu watu wajifunze vtu
Jimmy umeacha betting kisa loosing, so natak ni prove wrong so battle litakuwa laNa utasema target iwe ni kiasi gani kufijisha kwa mda ganiView attachment 1284309
Can't wait tena battle liwe katikat ya wiki mechi za ligi kubwa zikiwa zimesmama usijeleta visngzio [emoji23]Ahhahahaa sawa mkuu