Hivi unafanyaje analysis apo ndo napo changanyikiwa yaaniSome bode sad rari nimefanya analysis yangu na huu mchezo wa kwanza nimewin 79k je unalipi lakusema hiyo ni princessbet muda huu
#sad rariView attachment 1284461
Sport pesa ingawa wana kodi ila wapo fasta kuliko kampuni yoyote bongoUmetoa kiasi gani mkuu coz kuna kiasi inabidi taarifa zako uwe umzijaza vyema kwenye profile yako na pia waweza wapigia watakufanyia muamala wako wala hamana shida
Mkuu Mimi sina shida nawew kabisaa maana ushasem una exp. Ya five years means uko smarts ttzo ni wanao kufata boss ilibidi wapigwe college ya kutosha ndo wajeSome bode sad rari nimefanya analysis yangu na huu mchezo wa kwanza nimewin 79k je unalipi lakusema hiyo ni princessbet muda huu
#sad rariView attachment 1284461
Ngoja tuamie kwenye spin
Hii sio sawa mzee, leo 'weekend' utatumia mda mwingi kufundisha watu humu badala ta kushea tips
Ungetafuta siku ya kushusha darasa sio cku muhimu km leo. Anaetumia sportpesa, betpawa, gal, na nyingine hawawezi kukuelewa as long parimatch sio wote wanaitumia. Uzi ni wa kushea mikeka huu sio kufundisha kikundi cha watu wachache.
Haya ukimaliza weka na tips za dog race basi tuendelee kujifunza
[emoji23][emoji23][emoji23] jimmy umeona ninayo yasema???Hivi unafanyaje analysis apo ndo napo changanyikiwa yaani
Sport pesa ingawa wana kodi ila wapo fasta kuliko kampuni yoyote bongo
Msisahau kushea na vipigo basi[emoji23][emoji23] maana sijaona loose hata moja
Tuache kupotoshana et kila mda football
Inabidi tupunguze machungu watu wajue ku spin muhindi sio ndugu yetu
Hakuna cha nn wala nn acha tutoane mate apa
Mbona mnaelekezana ad michezo yakidada netbal uko[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] jimmy umeona ninayo yasema???
Kitambulishi shawatumiaga aseeUmetoa kiasi gani mkuu coz kuna kiasi inabidi taarifa zako uwe umzijaza vyema kwenye profile yako na pia waweza wapigia watakufanyia muamala wako wala hamana shida
Mkuu huu Uzi kutoa tips saiv ni matumizi mabaya ya bando[emoji23][emoji23] huo upuuz sfanyi hata MimMliukataa sio haya kila la kheriView attachment 1284475
We jamaa ni hatari, hapo naona uliselect namba nyingi inamana kila moja uliilipia kwa sh ngapi ngapimpaka ikaja hiyo 72 elfu?Some bode sad rari nimefanya analysis yangu na huu mchezo wa kwanza nimewin 79k je unalipi lakusema hiyo ni princessbet muda huu
#sad rariView attachment 1284461
APA umechagua namba jumla 20 na green uwezekano wakushinda in mkubwa uliweka kwa 300/#? Ama 500Some bode sad rari nimefanya analysis yangu na huu mchezo wa kwanza nimewin 79k je unalipi lakusema hiyo ni princessbet muda huu
#sad rariView attachment 1284461
Arifu nipo stesheni hapa na mabegi yangu, nasubiria gari moshiNgoja tuamie kwenye spin
We jamaa ni hatari, hapo naona uliselect namba nyingi inamana kila moja uliilipia kwa sh ngapi ngapimpaka ikaja hiyo 72 elfu?
Odds ya kumi imebaki timu moja baadae wanaomba odds ya 2 wanapigwaMkuu huu Uzi kutoa tips saiv ni matumizi mabaya ya bando[emoji23][emoji23] huo upuuz sfanyi hata Mim