Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani mimi nimelipuka hivi leo......liwalo na liwe ili maisha yaendelee....! naenda kibanda umiza kucheki gemu ya liverpool chama langu!....kwenye mkeka sijamweka !
 
BOOOOM[emoji855]
 
Vpi sasa umetick [emoji848] na shukuru hapo kwa Sydney goli la 4 na 5 kalipiga dakk ya 79,80 mkeka ulikuw hatrii tupu ulkuj tukauedit ukatulia ikawa sure bet
Siku hzi huwa natest mitambo shuti nje ya kumi na nane Mkuu huwa sio mbaya.
 
Bournemouth wachovu sana shida hii gemu amekosekana mane.
Liverpool bila mane hakuna kitu huo ndio ukweli. Mane angekuwepo wangekuwa wameshapata bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…