thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Mkuu kumbuka lakini apo ni kama nimeambiwa nichague moja kati ya haya:
Kupata faida ya 40,000 yenye uhakika kabisa
Au nisubili kupata faida ya 75,000...lakini kuisubilia hii naweza nikapata hasara ya 25,000
Daaah kichwa kinawaka moto hapa!!
Wekeni mambo ya Leo ya uhakika zaidi wakuu au ni scroll huko juu nitakuta mikeka ipo tayar ya leo.Leo nina elfu 40000 haina kazi hapa sahiv nitakuwa naicopy ya huku naifanyia tathmini naweka mzigo
Mara ya kwanza nimetumia application ya fotmob kufanya uchambuzi maana wanaonyesha na mechi tano za mwisho kukutana matokeo yao na pia matokeo yao mechi tano mfululizo walizotoka kucheza mambo mengi tu ila Jana nimeishia kulala na viatu sasa ni mwendo wa kukopy kwa wazee legendary huku fanyeni mambo wakuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubuh nimeamka nina laki tatu na sitini safari ya kanani bado inaendelea[emoji16][emoji16]
Asante jimmmmmmmyyyyyyView attachment 1285094
Rangi ipi inayotoa sana?Mm nacheza ile yenyew odds mbili nacheza black or red na kila rangi nayo icheza kama isipotokea nikiliwa na double ad itokee na nnacheza stake kuanzia elfu mbili saiz kwahyo ndani ya dakika mbili nikila mara tatu nimeingiza elfu kumi iv mkuu
Alafu nikiweka iyo elfu2 ktk izo rangi naweka pia rangi yakijani kwa mia tatu kama ikitokea kijani au ingine napiga pesa zaidi
Kwema kaka. Fanya mpango wa kusuka treni jingine ili lianze safari kabla ya hilo lililobakiza vituo vitatu halijafika pale Kigoma.niaje arifu?
Kwema kaka. Fanya mpango wa kusuka treni jingine ili lianze safari kabla ya hilo lililobakiza vituo vitatu halijafika pale Kigoma.
well said brotherKwema kaka. Fanya mpango wa kusuka treni jingine ili lianze safari kabla ya hilo lililobakiza vituo vitatu halijafika pale Kigoma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubuh nimeamka nina laki tatu na sitini safari ya kanani bado inaendelea[emoji16][emoji16]
Asante jimmmmmmmyyyyyyView attachment 1285094
Mkuu nielekeze na Mimi basi jinsi ya kucheza spinKaka we mbutue muhind upoze machungu asietaka kuelewa basi [emoji3][emoji3][emoji3]
Jamaa uko vizuri kwenye 3 way , ila chagua timu chache uweke stake ya maana..Dah, Jana mikeka ya pesa ndefu imechanika
1.Timu 13 nikakosa 2
2.Timu 13 nikakosa 2
3.Timu 6 nikakosa 1
Nimekosa pesa ndefu, aluta kontinua....View attachment 1285209View attachment 1285210View attachment 1285212View attachment 1285213
Naomba mwenye total odds ya 2 yenye uhakika leo nataka nijilipue mazima wazee...muhindi hawezi kutajirika yeye kila siku kwa pesa zangu....liwalo na liwe
Jamaa uko vizuri kwenye 3 way , ila chagua timu chache uweke stake ya maana..
ungezama in play ukacheza basketball game za asubuh ungekuwa mbali sana