MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
mm ni mwendo wa in play tu....tena basketball tu na wala sina tamaa ya kuweka stake ndefu...tunakula mdogo mdogo....View attachment 1285294
mkuu share basi mikeka yako,.watu tu copy na kupastesio mbaya nimepata ya barimi mbili na kipande cha paja
View attachment 1285293
View attachment 1285292
Misafara ya mamba na kenge tumoKaka we mbutue muhind upoze machungu asietaka kuelewa basi [emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa unaweza ukadandia kipindi cha 2 au unasubiri city akiongoza unampa ashinde aston vila kwenye live wanakua na odds kubwa ila hapo hakuna maajabu wale wapo form kama liverkukuMkuu umenipa boooonge moja idea aiseee....shukrani saaaaaaana
Nasubilia live mkuu nifanye kama ulivoniambia
mkuu niliuweka jana huo....sema ndio hivyo tena wengine hatujulikani humu!! underdog!mkuu share basi mikeka yako,.watu tu copy na kupaste
me tangu jana napuluriwa tu dah ila nmeanza kuisoma ngojaMlio wahi kucheza spin na mnaoucheza tupeni mbinu wenzenu tunaambulia vipigo mwanzo mwisho yaani kila mbinu wapi tunamaliza tu hela mpaka nachukia aliyeileta humu bora angetuacha na mipira na basket ball zetu tu kila nikijaribu kurudisha kurudisha ela zangu napigwa tu
Kaka umeshajaribu kutoa pesa hii leo?? Maana naona mimi kila nikitoa muhindi anakaza sasa sijui anazichanga ama vipi??
Nikitaka kuplace naweka namba gani?
Hapo kwenye ku dabo unakuta umedabo rangi kama mara nane hivi pesa mpaka inafika 25,000 inamana unaidabo hiyo 25,000 kuwa 50,000 mpaka hiyo rangi ije unakuta haiji, nikuendelea tu ku dabo? Basi yataka mtaji mkubwa sana.Ucweke namba tumia rangi
Hivi hiii spin two win INA watu wake maalumu kabisa au maana wengine kila tukitumia mbinu zilizowekwa na wadau huu hamna kitu naambulia kipigo tu yaani hata hakuna ujanja mwingine wakufanya yaani hata ninganganie rangi moja wapi unakuta umeamuwa kucheza black tu unadoble wewe mpaka ela hata raundi kumi na zaidi haiji nini shida kwangu
Mlio wahi kucheza spin na mnaoucheza tupeni mbinu wenzenu tunaambulia vipigo mwanzo mwisho yaani kila mbinu wapi tunamaliza tu hela mpaka nachukia aliyeileta humu bora angetuacha na mipira na basket ball zetu tu kila nikijaribu kurudisha kurudisha ela zangu napigwa tu
Sawa mkuu na mimi ntafika tuMisafara ya mamba na kenge tumoView attachment 1285326View attachment 1285327
Mkuu ningumu sana kuzd mara tano au nne rangi haijaja pale sio mtu anaekupangiaHapo kwenye ku dabo unakuta umedabo rangi kama mara nane hivi pesa mpaka inafika 25,000 inamana unaidabo hiyo 25,000 kuwa 50,000 mpaka hiyo rangi ije unakuta haiji, nikuendelea tu ku dabo? Basi yataka mtaji mkubwa sana.
Ili uende fresh hata namba ikigoma zaidi ya mara tano inahitajika uanze na kama sh ngapi hivi ili usikwame njiani!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mkuu pale chance ni 50 50 aiwez goma zaid ya mara tano mayb mtaji wako mdgo aoo itakusumbua
Mlio wahi kucheza spin na mnaoucheza tupeni mbinu wenzenu tunaambulia vipigo mwanzo mwisho yaani kila mbinu wapi tunamaliza tu hela mpaka nachukia aliyeileta humu bora angetuacha na mipira na basket ball zetu tu kila nikijaribu kurudisha kurudisha ela zangu napigwa tu
Mkuu mi Jana nilikuwa na 50k kwenye account nikaanza kucheza rangi nyekundu tu kwa buku nilidouble zaidi ya Mara nane haikuja nikahamia nyeusi na mashine ikahamia nyekundu dakika tu sikuwa na helaMkuu unabet kuanzia sh ngo naumeweka capital kias gn??????
nielekeze mkuu mi badonimefanikiwa