Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,219
- 6,080
Hahaha Mkuu kwanza wewe unaweka dau gani kwa mara moja,nami naweza kuunga mkono juhudi zako za kuacha kibarua.Me natembea na mia 5 mia 5 faida sipati kabisa.Wakuu naombeni ushauri wenu
Jee niache kibarua changu ninacho tegemea elfu12 kwa siku ili nipate muda zaidi wakucheza SPIN kwani tangu juzi nimeanza mambo moto na asubuh kama ya leo nimeamka nimecheza cheza kama dakika saba nimepiga elfu hamsini(50)
Naona kibarua kinachukua muda wangu mwingi na matunda yake madgo
Ushauri wenu[emoji16][emoji16]
Sasa mkuu wewe unacheza color ambayo huwa ina double tuu unatumia muda gani kutengeneza 50K ukizingatia maximum stake haizidi 2K? Au ndo unazirudia rudiaaWakuu naombeni ushauri wenu
Jee niache kibarua changu ninacho tegemea elfu12 kwa siku ili nipate muda zaidi wakucheza SPIN kwani tangu juzi nimeanza mambo moto na asubuh kama ya leo nimeamka nimecheza cheza kama dakika saba nimepiga elfu hamsini(50)
Naona kibarua kinachukua muda wangu mwingi na matunda yake madgo
Ushauri wenu[emoji16][emoji16]
Wakuu naombeni ushauri wenu

Formula iyo jana imechemka vibaya sanaTumia formula ya kidi kudi
Hii michezo haitabiriki fanya kibarua ukimaliza rudi mchezoniWakuu naombeni ushauri wenu
Jee niache kibarua changu ninacho tegemea elfu12 kwa siku ili nipate muda zaidi wakucheza SPIN kwani tangu juzi nimeanza mambo moto na asubuh kama ya leo nimeamka nimecheza cheza kama dakika saba nimepiga elfu hamsini(50)
Naona kibarua kinachukua muda wangu mwingi na matunda yake madgo
Ushauri wenu[emoji16][emoji16]
Yaani acha tu,Porto ka draw asee yani hii kitu kama kuna mkono wa MTU game zote znatoa inabaki moja ya mwisho inazingua
Mayu anasema humu mmeanza kujadili SPIN mnaharibu maana ya huu Uzi, bora ajibetie zake kimya kimya.Wapiiiii mayu [emoji848]
Itakua ww ndo umekoseaFormula iyo jana imechemka vibaya sana
Ulicheza ligi ganiFormula iyo jana imechemka vibaya sana
shida watu humu ni wachawi sana!! maana unakuta mtu anataman na wengine waloose kama yeye anavyo loose!! ndo wengine hawapendi kushare tips humu maana ukishare wengine wanakuombea upoteze kwa kuwa wao hawashindi!! so cha msingi unatuma tu winning tips ili kuwachoma zaidi!!Wakamaria Wengi Tumetawaliwa Na Wivu
MTU Aki Post Win Watu Wanaanza Kumshambulia
Nina Experience Ya
Idiot
Going Concern
Na Sasa Ni Huyu Jimmy Scami
MTU Akipost Win Wataanza Kumshambulia Na Kuonyesha Kuwa Hawakubalian Na Alichokifanya Badala Ya Kumpa Blessings Na Kusema Hard Work Pays.
Watu Wanataka Wao Ndio Wawe Top Wengine Wadidimie
Kama Adui Yetu Ni Mmoja Lazima Tuoeane Moyo Na Kufurahi Mtu Akitoboa Iwe FOOTBALL, HOCKEY, SPIN Au Hata Karata.
Sasa Wewe Watu Wanafundishwa Jinsi Ya Ku Spin Wewe Unakasirika, Is It Fair?????
Tubadilike.
Hvi ukitoa pesa Parimatch unachukua muda gan kuingia kwa simu?
Kabisa mkuu,Dah! Ngja nimfate pm tuwe tunapeana madini kumpoteza MTU kama mayuu kwenye hili battle na kanji siweziii
Its True Bro, Kuna Kasumba Fulani Ya Wamilik Wa Jukwaa.shida watu humu ni wachawi sana!! maana unakuta mtu anataman na wengine waloose kama yeye anavyo loose!! ndo wengine hawapendi kushare tips humu maana ukishare wengine wanakuombea upoteze kwa kuwa wao hawashindi!! so cha msingi unatuma tu winning tips ili kuwachoma zaidi!!
Oh,sasa ndo naelewa lengo la kutuma winning tips humu.shida watu humu ni wachawi sana!! maana unakuta mtu anataman na wengine waloose kama yeye anavyo loose!! ndo wengine hawapendi kushare tips humu maana ukishare wengine wanakuombea upoteze kwa kuwa wao hawashindi!! so cha msingi unatuma tu winning tips ili kuwachoma zaidi!!
Hongera sana kamanda...hii inaitwa "a highest discipline" ambayo ukiweza kui-maintain lazima utusue....tatizo letu wakamaria wengi ni "tamaa" ya kumpiga mhindi haraka haraka inatu-cost"JOURNEY TO THE MAGICAL OF JGB 2020"
Tittle kama linavoeleza niliwahi sema kuna
mwana kaniinspire hatarii alianza from $10k mpaka
$1,000,000 nkasema naanza nakuingiza
buku 10 kwa siku, badae akili ikacheza why?? Nisianze na research ya what if I make stake(yan real decision), rule no 1 n under 2 odds,rule no 2 day
earning must be 35,000 ndani ya mwezi huu
dec nilianza tareh 1 ni Jana tu Chelsea
nilimpa X2 kanichania Leo estimation ya
vpigo imeendelea,
Inshort, mwakan January Hii journey ni yakula 35,000 per day-mwez ni Mil 1 na 50 atleast ndan ya siku 10 niloose 1, na kila after 5days of my wining nimepanga kutoa Elfu 8000 kubless wenye uhitaji
Hapo. February, Earning per day naipandsha from 35,000 to 60000
[emoji23][emoji23]Kama kuna Wakala wa kanji humu afikishe salamu maana Mimi na deal na error odds from 1.50 hiyo n helaaa
Na Leo day 8 nilmpa
Ya leister 2X,
Ya Union Berlin over 1.5FT
Odds 1.51
Simple and clear kbsaaa staki tamaa
Akili hii sio wakuptza 1.50 odds frequently
Betting exp.imenipa somo la kutosha now its time to fVck the system
[emoji23]View attachment 1285906View attachment 1285908View attachment 1285910