Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kufika mara kumi impossible
Mayb una assume but pale chance ni 50 50 so any namba can occur
Sawa mkuu lakini usiseme ni impossible, ebu angalia hapa black colour imetokea mara ngapi

Na kama una muda nenda ugoogle hiyo martingale strategy in roulette huone shuhuda za wenzako.
Sikukatishi tamaa ila ujiandae hiyo situation inaweza kukuta anytime.
 
Shukran chief kikubwa ni discpline tu.
 
Hii ni SEA Knockout stage. Vizuri kucheza TP kwa sababu kila team ina Average nzuri ya vikapu. I can see this game giving out 160+ TP.

Shida bookmakers wengi wameitoa. Kwenye Group stage nimepiga pesa sana na hizi Teams.

Ukiipata kila la kheri.
kaka mimi nafuata tu mfno hapa nimefuats hii ya 3Q over 44.5,sasa hiyo TP ni nini boss,maana wengine tunafuata tu ilipo pesa ila atuelewi
 
IPO Sport Pesa
 
Zaga hilo hapo,enhe hapo tunachagua ipi
 
Hii System Haifanyi Kazi Refer Strategy Yangu Hapo Juu Ingawaje Kupata Pesa Ming Kwa Muda Muda Mchache Ni Ngumu

Mimi Naamini Roulette Spin Katika Kila Michezo Lazima Li Double Lenyewe Kwa Option Hizi (RANGI, LOW AND HIGH NUMBER)

Means Series Ya (RED,RED,RED Ni Kubwa Kuliko RED,BLACK,RED)

Au (LOW, LO,W,LOW Ni Kubwa Kuliko LOW,HIGH,LOW,HIGH)
 
kaka mimi nafuata tu mfno hapa nimefuats hii ya 3Q over 44.5,sasa hiyo TP ni nini boss,maana wengine tunafuata tu ilipo pesa ila atuelewi

TP ni Total Points. From 1Q to 4Q na saa zingine unaweza ukakuta including OT.
 
SPORTPESA SIGN UP na LOGIN IN vinanileteaga maneno haya tangu mwaka JUZI. Tatizo huwa liko wapi. MSAADA wadau!

PREMATCH [emoji459] TIPs

Odds 3+

NB: Stake accordingly!

Network ilikuwa inasumbua tunaweza kwenda Pamoja.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…