Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba hiyo nafasi ya hapo kibaruani mkuu
 
mkuu mm nacheza na hesabu pamoja na muenendo wa game kwenye quarter coz kwa experience yangu mfano katika quarter ukiona ndani ya dk 3 wamefungana point zaid ya 10 ujue hiyo quarter ina asilimia kubwa ya kutoa over 40 na kuendelea so kama kwenye market yao ukiona wamekuwekea over/under 39.5 au 42.5 we tembea na over...
Ila kuna game zingine mfano betpawa wanaziweka kwenye live play lakini unakuta kwenye application yangu ya kuangalia matokeo haipo nachokifanya naingia site ya 1x bet naangalia hiyo game inaendaje kwenye quarters so hapo nafanya maamuzi kulingana na upepo unavyoonekana....
Mkuu Wewe Huwa Unaangalia Nin Kwenye Over Under Zako Za Basketball?
 
Asante mkuu
 
hii game nilikuta dk 67 walikuwa 2:1 nikajitosa over 4.5 goals....nashukuru mungu wamekuja kufungana dk 80+ huko kibubu kinaendelea kujaa
 
daah umeongeaa neno sana mkuu
 
Odense - Aalborg
❗- [Exact HT-FT] X/1 - 5.26

Odense - Aalborg
❗- [Exact Score ] 2-1 - 18.40 odds

πŸ”° - VIIP INFORMATION

MINIMUM STAKE ❗❗❗
🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟🌟
 
I can win 1 036K TZS at betPawa.co.tz, join now and win with me! My Betslip at betPawa.co.tz

Dua zenu.. .vituo 25
Apa

Nilichofanya nimewatoa Chelz Barca B.Munich nawengine wanacheza Europa mana hawachelewi kumwaga mboga Nimewa Add B.Dortmund Napoli & Ajax Game zao wanaitaji kushinda kivyovyote ili wavuke stage nawapo home

Game ya Barca yy keshavuka nayuko away ...Intermilan yy anaitaji 3point kuvuka stage kufakupona na yuko Home ya moto hii nimeikwepa
 
Mkuu Uliingia Na Mtaji Wa Tshs Ngap?

Na Je Unakomaa Na Rangi Tu .
Nimetandika namba mkuu..hawa jamaa I bet hawataweza kudumu kwenye huu mchezo maana utawafilisi mbaya...Ukiamua ule siku nzima unaweza maana ukisteki namba zote kwa mfano kisha ukaacha moja pekee unakuwa na faida na probability ya kushinda ni 99.999999 percent.. Yan kuingiza spin kwenye betting wameenda bonge la chaka na inaonekana wameishiwa ndiyo maana wameshindwa kulipa on time..Achana na rangi, sijui odds, even, dozens, half range wewe tandika namba exactly. Nimekumegea ingawa huku mtaani sitowapa makamaria maana khanjiby ataiondoa very soon so acha tumgonge kwanza.

Yani kwa spin football betting atasubiri miaka 1000 na huwa haicheleweshi mfano wangenipa mpunga on time now ningekuwa nachezea kwenye M huko kwenda mbele! Spin itamkula khanji achakae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…