Son of a Pagan
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 359
- 542
SPIN daaaah naomba kanji asije kuitoa ii option i swear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaaaah
wale wa pesa GG mechi ya Arsenal Leo. Hii ni pesa ya mapema. Tukutane saa tano usiku.Unatumia mbinu gani mkuu hembu nipe mbinu zako
wale wa pesa GG mechi ya Arsenal Leo. Hii ni pesa ya mapema. Tukutane saa tano usiku.Unatumia mbinu gani mkuu hembu nipe mbinu zako
Pamoja mkuu ulipoteawale wa pesa GG mechi ya Arsenal Leo. Hii ni pesa ya mapema. Tukutane saa tano usiku.
wale wa pesa GG mechi ya Arsenal Leo. Hii ni pesa ya mapema. Tukutane saa tano usiku.
Mkuu ni vigumu sana kutokea unaweza kushinda mapambano 9 kati ya 10 au yote kabisa...Mimi naacha walau namba nne halafu naangalia trend inaangukia wapi mostly.. Hayo mambo ya ku double unaweza kupoteza sana kuliko kupata. Mimi kwa upande wangu naona football betting atasubiri sana na ndiyo maana sites kama betpawa hawana spin 2Hii njia ni nzuri sana ila inataka mtaji na ni hatari maana ukiacha namba moja halafu ikaja hiyo namba unakuwa umelose pakubwa kweli
Mkuu mbona tunaelezea humu? Nimeiona PM yako ila fuatilia humu tumeelezea mkuu.Nime kupm mkuu hembu cheki tuyajenge
Mkuu kwa msaada wako tu naomba mnielekeze tena maana mi ile staili ya kuduoble sipati kabisa dakika tatu nakuwa sina changu mbinu nyingine jeMkuu mbona tunaelezea humu? Nimeiona PM yako ila fuatilia humu tumeelezea mkuu.
daaah!! wameishia point 34
EVENING [emoji459] TIPs
Odds 3.62
Turkey TKBL Women
Russian Super League Women
View attachment 1286665
mkuu weka posibo za nba
Bloom linanukiamaombi ya mwenyezi Mungu ma Kudra zinahitajika sana usiku huu! Hali ni tete leo lazima niongee ukweli!!! No(hakuna) 100% leo!!!
View attachment 1286908
mkuu weka posibo za nba
Kama hukutumia hiyo namba kudeposit haitatoka. Watafute instagramView attachment 1286907
Wakuu msaada, najaribu kutoa pesa Meridian bet tokea saa tatu asubuhi, ila pesa haitaku kutoka
Sasa jamaa ikitokea umechagua namba zote ukaacha moja alafu kati ya ulizochagua mojawapo ikashinda, je zile zingine ulizoziwekea dau hawakati pesa yao, au wanadeal na namba iliyoshinda tu?Mkuu ni vigumu sana kutokea unaweza kushinda mapambano 9 kati ya 10 au yote kabisa...Mimi naacha walau namba nne halafu naangalia trend inaangukia wapi mostly.. Hayo mambo ya ku double unaweza kupoteza sana kuliko kupata. Mimi kwa upande wangu naona football betting atasubiri sana na ndiyo maana sites kama betpawa hawana spin 2