Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuuuu aliacha family cold war
 
Pole saana mkuu hii katika spin ni kitu cha kawaida hii tunaita *psychology affection* nafaham fika kua ulivofikisha 500k ukapanda dau zaidi ili uifikie 1m pasipo kujua discipline in rollette matter... ila pole saana
Hv katika uzoefu wako na hili gurudumu umeshawi lichunguza kuwa baada ya mizunguko mingapi ndo GREEN hutokea maana ukiipatia hyo green ukatia mizigo wa maana hukosi mpunga mrefu.
 
Ashukuriwe sana yule mdau alie leta Tips za kucheza live basketball,tangu jana mpaka leo nimecheza 5/5 na nmewin!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…