Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani mtafanya akimbie nchi huyu bwana kanjibah mpole ktk kampuni zote hapa tz nadhani hii ndio inaongoza kuonewa.

Nasubiri nione picha yako pale kwenye hell of fane sorry Hall of fame 😀😀😀

hahaha ...
 

Kila mda nawaambia tamaa hazifaiii mtu akisha pata viela anataka apige nyingi kwa mkupuo
 
Kuna timu za Uingereza kama vile Arsenal, Man u, Man C zinachana sana mikeka.
Binafsi huwa nahisi zinacheza deal na makampuni ya kubet
 
SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
Aiseee ... Odds 10453 !!! BIG UP saana Chief
 
SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
Sasa mtu aedit mkeka kwa faida ya nan? Mtu ajizulie jambo? Ebu tupe motives behind mkuu!!jamaa kashinda hapo si rahisi kuedit, kama unaweza ni editie mechi za leo UEFA weka stake 25000, alafu win weka 600,000 mpaka saa 6 mchana ukiweza kuna 15k ya bureee nakupa!!
 


Barcelona wamesha-qualify na hawana cha kupoteza, wanaongoza kundi lao kwa pts 4. Kimbembe kipo kati ya Dortmund na Inter Milan ... kila mmoja anahitaji matokeo leo ...

Msimamo wa Kundi F:



Lionel Messi, Jordi Alba, Gerrard Pique ni miongoni mwa wachezaji ambao hawatacheza leo.
Inter Milan ana nafasi kubwa ya kushinda hiii game leo.
 
SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA

Duuh ! ... kwamba hupendi watu wanavyotusua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…