Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
BANGO NI KUBWA NILISEMA KANJI AKAE MLEE SIKU SABA NIKIMAANISHA MKEKA UMEANZA JANA JTATU LEO JNNE KESHO JTANO ALHAMIS IJUMAAA NAPUMZIKA NAENDELEA JMOS MPAKA JPILI SIKU YA 7... WAPO 27 JANA WAMEKATA MAUNO WATU SITA ..LEO NAHISI WAPO WATANO..HIZO NI BAADHI YA MABOMU NILIYOYASETI
 
Mkuu sikupandisha dau na lengo ilikuwa nifikishe 1M ndo nichomoe laki 7.
Lakini hongera kwa ushauri mkuu
 
Actually it was psychology affection.Lengo ilikuwa kufika 1M na nichomoe laki 7.
Nashukuru kwa ushauri mkuu.
Pole saana mkuu hii katika spin ni kitu cha kawaida hii tunaita *psychology affection* nafaham fika kua ulivofikisha 500k ukapanda dau zaidi ili uifikie 1m pasipo kujua discipline in rollette matter... ila pole saana
 
SIELEWI MNAMPONGEZA NINI HUYO JAMAA KAEDIT HAJALA APIGE PICHA WIN NA HIYO PESA ANIJETEKENYA ANACHEKA MWENYEWE ,NINA UHAKIKA 1000% HAJALA IYO PESA
Ni kweli hajala huenda mkeka bado uko hewani maana ungeandika mwishoni Won ,sasa hapo hakuna neno won watu wanapongeza
 
Hatua ya KWANZA,

JISAJILI NA HUDUMA YA AIRTELMONEY-MASTERCARD kwenye simu yako

" Mastercard! Lipia Bidhaa na Huduma mtandaoni kwa urahisi na Airtel Money Mastercard. Pata kadi yako kwa kupiga *150*60# Chagua 6 kisha 1"
 
Hatua ya PILI

KUPATA KADI YAKO YA MASTERCARD

Baada ya usajili kukamilika, utapokea sms kuthibitisha pamoja na link ya KUPATA KADI yako.

Mf:
"Ndugu Mteja,Airtel Mastercard 533322XXXXXX0782 kwa ajili ya manunuzi imetengenezwa.Bonyeza https://qwik.cards/d2pkLq kupata taarifa za kadi yako."
 
Kudeposit fresh ila kutoa issue kuna jamaa angu aliitumia mwezi october alifeli kutoa maana airtel hyo card haipokei pesa toka mitandaoni
 
Hatua ya TATU,
HIFADHI TAARIFA MUHIMU ZA KADI YAKO

Hapo utahitajika kutunza TAARIFA muhimu zifuatazo
-Namba ya KADI
-Jina la KADI
-tarehe ya kuexpire ya KADI
-Namba ya cvv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…