Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sure bro, tujaribu Kila Kona ila tusiongozwe na tamaa. Ukifanya maamuzi kwa msukumo was tamaa lazima ikugharimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku niliyoacha keno ni baada ya kwenda makao makuu ya kampuni moja maarufu sana kwa options nyingi za futball na kukuta wahudumu wapo busy na computer kila mtu na yake ukiweka pesa nyingi kwenye number mf 5 itoke ukaweka laki 1 yeye anabonyeza kibutton cha kuchange mzunguko niliwasoma kwa Kama saa 1 nikiwa narekebisha ticket yangu ya futball toka hyo siku KENO BYE BYE BYE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naombeni maujanja ya basketball. Wastani wa over kwenye league mbali mbali

Over au Under inategemea na Teams zinazocheza. Basketball inahitaji ufanye analysis kama Football tu. H2H stats zinahusika sana. Game Average Points Teams zikikutana, pia Current form ya Trams hizo.

Kwa US NBA mtu anayeaminika kwa sasa ni LA Lakers. Msimu huu amekuwa one of the best teams kwenye NBA.

NB: Most leagues 10 mins PT for @ Quarter. Philippines, China na US NBA ni 12 mins @ Quarter.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…