Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Process zipi nifanye ili niweze kutoa hela kwa hii 1xbeti via A/mastercard.
Naomba mniwekee hatua
Humu watu wanaogopa kuweka process za 1x sababu wabongo wanafitina sana,ukiweka tu hapa unashangaa kesho payment method hiyo wameondoa,kwahiyo tunakaa kimya tu..ila kwa sasa mastercard 1x haifanyi kazi kwa muda,huwezi kuwithdraw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…