Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nakukumbusha tu Barca ameshafuzu = hana cha kupoteza hata akipigwa, Inter anahitaji ushindi wa hali na mali tofauti na hapo Dortmund akishinda game yake anapita.
mkeka uliti barca kashinda juve kashinda natoa shukrani kwa aliepost ule mkeka mtaji umepatikana naombeni na zaleo
 
Nimeitafuta sana Hii game bt jamaa katoka nayo mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…