Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa anayefahamu au mwenye uzoefu na fixed matches msaada kidogo hivi kweli zipo au matapeli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua ushaingia telegram na unataka kujilipua kununua fixed match kutoka kwa wakenya au wanageria utapigwa vile ambavyo haijawah kutokea Mzeee yaan utaibiwa kununua hzo odds za fixed match hakuna kitu cha namna hyo cheza bahatisha tusuma mapene Bro,Acha utajuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
United✅
Spurs✅
Madrid✅
Barca✅
Atletico✅
Napoli✅
Inter✅
Dortmund✅
PSG✅
Lyon✅
Ajax✅

Odds 356
 
Mkuu uzuri ni kwamba haulazimishwi sio lazima ucheze spin kama unavodhn we waweza endelea na betting zingine tu [emoji3][emoji3] mana mna hasira mnoo.... spin is not for everyone
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saafi ndio perception yako pia mwambie huyo jamaa ako kama anaweza akupe hio win ticket za spin ulete hapa kama unahisi inawezekana [emoji3][emoji3]... acheni mawazo mgando kama huwezi kucheza spin cheza betting zingine kama ni kiloose kote tu unaloose mzee na kama ni kupat basi kote ni kupata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeganda na red kwa kudouble stake 500..1000...2000..4000...8000..dau la mwisho 4500. Elfu 20 nlowin Jana usiku kwenye football imeondoka Leo asubuhi kwenye spin. Sio poa hill dude.
Waachien wenye utaaalmu. Hats niwe na laki Tisa si stake hata 300.
 

Attachments

  • IMG_20191214_111608_046.jpg
    17.5 KB · Views: 17
  • IMG_20191214_111643_835.jpg
    25.9 KB · Views: 16
Sina uhakika sana ila nadhani ni matapeli tu, wengi naona wanalalamika sana kulizwa na hao watu
Mkuu sikushauri kwenda huko hao nigerians na wakenya ni matapeli tu, fixed zipo ila huwezi zipata huko telegram, zipo zinauzwa huko darkweb lakini ni ngumu Kupata wengi wao ni matapeli, mkuu ni ngumu sana kuingia ktk hiyo inner circle ya hizo fixed .......
 
Hili Jamvi linakalika jamani, karibuni waungwana tuunge tela huenda likatufukisha safiri ya kumlipua kanji[emoji2788]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…