Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UONGO MTAKATIFU Dark web sawa ila eti wana ligi yao huo uongo
Fuatilia hiyo documentary ya aljazeera ndio utaona huu mtandao wa game fixing ni mkubwa saana from India, Bangladesh, Sri Lanka to England e.t.c

Binadamu habaniki kivyovyote vile, atatoboa tu. Wale mbwa wanafix kuanzia amateur game Hadi international. Na Kama haitoshi wanaanzisha mashindano yao tournament na kuomba kibali Cha recognition ICC then wanaingizwa kwenye bookies watu wanatia mzigo wanatengeneza mega profit. Ukiweza kuzama dark web ndio utakutana na manyalali, mataikuni yaliyoshindikana ya game fixing ushangae, achana na wale wa Waghana, Wanaijeria na Wakenya wa telegram na WhatsApp wale ni matapeli tu mafundi wenyewe wanapatikana shimoni kunaitwa Dark web. Huko unauziwa hadi kifaru na mabomu Kama unauziwa shati kwenye duka la boutique.

Kijana dunia ina mengi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…