Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bangooooooo nimetandikwa 60k. Kisa mitimu from africa mikeka minne kila mkeka game moja au mbili USM ALGER BWANA
 

Attachments

  • Screenshot_20191217-050027.png
    52.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20191217-045928.png
    53.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20191217-045917.png
    50.8 KB · Views: 15
  • Screenshot_20191217-045816.png
    53.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20191217-045736.png
    48.2 KB · Views: 16

Mkuu season one si ishafika?? PM panaruhusiwa?
 
Wakamariaa wenzangu leo kwa mara ya kwanza namshukuru kanji ..amesababishaa niokoe baadhi ya mali zanguu..iko.hivi leo isiku kam saa 8 hv..nlishtukaa tokeaa usingizin maana nlitaka kubet NBA basketball...asaa wakat nasukaa mkekaa nkaskiaa kishindo njee..kumbee kunaa vijana wezi walikuaa wanatakaa kuibaa bhnaa..kwendaa kuchek sebulen nakut kuna mwana kaingizaa mkono na tochi anataka kuvutaa Tv..daah nlimpigiaa yowee hadi akakimbiaa..nisingekuaa mkamariaa leo najua nngeamkaa nmeibiwaa..ila Namshukuru zaidi Mungu maana hat hyo bet nmekulaa ko ni win win..hahaha..kdogo nimeonaa nishare

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha H ume tisher mkuu ndo uzuri wa kua na kazi mbili ulali usiku uyo kijana wakat ame ingiza mkono unge chukua mmbisu au msumeno unge ukatilia mbali kwanza kabla huja piga kelele
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha H ume tisher mkuu ndo uzuri wa kua na kazi mbili ulali usiku uyo kijana wakat ame ingiza mkono unge chukua mmbisu au msumeno unge ukatilia mbali kwanza kabla huja piga kelele

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha..kweli man..nndo najilaum hapa ..cemaa wengee bayaa man..ilikua giza nliogopa asije akawa na bombaa akanikill..nkaonaa npigee keleelee..tu..semA tuwe makin..mvuaa hizi vibaka na wez wanazitumiaa sanaa yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…