Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimezungusha gurudumu mida hii kama dk 5 hiv zimepita nimekula hapo 19K faida, inanitosha napita hivi..naenda kwa wakala anipe changu.
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Hahahhah Safi sana mkuu, hata mimi ndo michezo yangu hiyo.. kwa siku naweza piga hadi 28k.....kwa style hiyo kanji hawezi kichomoa.... Kila siku lazima umuokote
 
hahaa mkuu umezungusha kiuoga uoga hutaki ya Sungusungu yakukute

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabsa Mkuu...kinachonigharimu ni uwoga ila tahadhar ni muhimu mana si lizuri, unaeza endelea zikarudi zote!
Kosa alilofanya sungunguu sitaki kulifanya..
Niliweka 19K jion hii ili nizungushe gurudumu, imefika tu 38K ndan ya dk 5 iv nikaend kwa wakala!
 
Yani unakuta mtu kaingiza mkono unampigia yowe hivi wanaume wa DAR mnafeli wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…