Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijawah kumuotea kanji kwenye Wc. leo najaribu ya mwsho, akinlaza naendlea na ligi za scandnavia.
 
jamani wadau belgium na marekani mnaionaje leo na argentina. mtu anipe ushauri maana kazi yetu imekua ngumu mno
 
Dah hii nitaiheshimu sana betting noma sana sana wedi kapu hii duuuuh yaani ful kilio hakuna siku ya afadhali
 
hapa ni mwendo wa half time/full time kwenye premier betting yaan kwenye mechi moja unabet mara mbili ni mwendo wa point 4 hadi 99.hadi kanjibah anakasirika.
 
hapa ni mwendo wa half time/full time kwenye premier betting yaan kwenye mechi moja unabet mara mbili ni mwendo wa point 4 hadi 99.hadi kanjibah anakasirika.

Hizo premier betting ziko wapi
 
Mkuu nimeona unazungumzia something like iplay, naomba nieleze how to register and other stuffs, unaweza bet match moja tu both in normal and Handicap?
iPlay8Casino.com - Casino Games
Ukienda hapo itakusaidia zaidi hawa wao wana kila kitu unachagua wewe mwenyewe. Ina vitu vingi vya kubet
Uzuri wake ni huu ukiweka hela kama timu imepewa 2.6 wewe ukaweka dollar 10 hapo utapata dollar 26 kama hela yako ila watakurudishia na hela yako pia ile dollar 10 hivyo kwenye account yako itakuwa ni 30$
Wanarudisha hela kama ukishinda

Ukishajiunga watakiwa utume hela mpesa au tigo pesa kutumia 888866 reference iwe number yao ya simu afu utachukua confirmation code na kuwatumia wao iplay kwa email afu wataongeza hela yako
 

na ukitaka kudraw hela unaweza kwa m-pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…