Mkuu ni machaguo yako ndio tatizo na sio matokeo ya hizo timuHakuna betting ya faida.. Utapoteza hela nyingi. Ona totenham Jana kafanyaje.. Man United.. Zaidi ona juventus... Hii biashara faida nikwamhindi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe kabana kila sekta [emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka december 26 hadi jumapili yake kwa mwaka jana niliingiza 4M kwa betting ila timu zilikuwa vizuri kuanzia Italy, EPL kina Everton na Spurs na man u walikuwa wanatoa sana magoli ukiangalia hadi league 1 mambo yalikuwa mazuri unampa Leeds unasubiria kwa wakala hapohapo ila mwaka huu sijui. Naangalia ratiba ya ligi mbalimbali hiyo december 26 zimekaa vibaya ingawa siyo sana ila sitarajii kuingiza hela kama mwaka jana...Daah yan betting huwa nategemea sana kuwa kuleleni msimu kama huu.
mkuu wewe ndio yule mshuza Jr ?Nilichojifunza kwenye kamari...bado wengi tunabeti kwa mazoea..tunaangalia sana timu kubwa na kuzipa ushindi wa moja kwa moja..na kwa kulijua hilo kampuni hizi wanafanya wanayayoyajua mpaka matokeo yanakuja tofauti na matarajio..kuna mchezo mchafu sana unaendelea nyuma ya pazia..
Game nyingi tunazoangalia tayari matokeo wanayo..ile kuingia uwanjani ni ushahidi tu...yaani kuna wakati nahisi uwanjani kuna watu hatuwaoni kwa macho ya kawaida wanaratibu kila kinachoendelea..anyway mwisho wa siku ni staretegy na bahati zinahusika sana kwenye hii michezo.
Siku ya j1nlicheza direct win katika mikeka 3 nkapata mmojaHakuna betting ya faida.. Utapoteza hela nyingi. Ona totenham Jana kafanyaje.. Man United.. Zaidi ona juventus... Hii biashara faida nikwamhindi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app