Mkuu hii ni App au site ipi ya uchambuzi unayotumia?
Hizo zishachezwa tayari alfajiri ya leo. Usiku wa leo hakuna game za NBA ndio maana hujaona kitu.Kwenye Kikapu game za leo mbona hawajaziweka kwenye list leo?! Yaanj nimecheki Betpawa,Sportpesa,PariMatch...kote hakuna hata moja!!
Hii kiufundi ndo kusemaje?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinunua kwa sh ngapi hiyo Fixed match ?MAMBO VIPI WADAU NAOMBA UZOEFU WENO KUHUSU
***#FIXED MATCH #****
JE NIKWELI ZIPO AMA INAKUA NI UTAPELI TU
MM NILISHA WAI KUNUNUA HIYO FIXED LAKINI GAME MOJA IKAZINGUA MWISHONI MATOKEO YAKAWA VICE VERSA NIKA LOOS JE KUNA MTU ALISHA WAI KUTOBOA NA FIXED MATCH YA CORECT SCORE ?????
Cc p didy Mayu deep Pond na woteeeView attachment 1302117
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana. Kwa hiyo unaishia kupigwa Mara mbili. Bora lakini timu moja ilitiki na iliyobakia matokeo yake yalikuwa vice versa kuliko ungeona red mbili kabisa.
Hizo zishachezwa tayari alfajiri ya leo. Usiku wa leo hakuna game za NBA ndio maana hujaona kitu.
Zipo ila wengi waongo wanachukua kwenue ma app ya playstoreMAMBO VIPI WADAU NAOMBA UZOEFU WENO KUHUSU
***#FIXED MATCH #****
JE NIKWELI ZIPO AMA INAKUA NI UTAPELI TU
MM NILISHA WAI KUNUNUA HIYO FIXED LAKINI GAME MOJA IKAZINGUA MWISHONI MATOKEO YAKAWA VICE VERSA NIKA LOOS JE KUNA MTU ALISHA WAI KUTOBOA NA FIXED MATCH YA CORECT SCORE ?????
Cc p didy Mayu deep Pond na woteeeView attachment 1302117
Sent using Jamii Forums mobile app
Orland-Chicago wangechana mkeka...Ohooo.... Nimekosa hela dadadeki. Ngoja niangalie matokeo nioanishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 99 ya wauzaji za fixed match ni waongo mi nshapigwa pia Wakenya,Waganda na Wanaigeria sio watu wazuri kabsa...So kwaku hakuna kitu kinaitwa fixed match ndani ya kichwa na muhind huwa akiisi tu kuna dalili za upagwaji wa matokeo huondoa hzo timu chapu sana....Swali dogo tu kama wewe unaweza kununua Kwann muhindi asinunue na yeye ili ajue upangaji wa matokeo ajitoe kwenye vipigo kivali....Tushushe tu mawe ya kubashr.MAMBO VIPI WADAU NAOMBA UZOEFU WENO KUHUSU
***#FIXED MATCH #****
JE NIKWELI ZIPO AMA INAKUA NI UTAPELI TU
MM NILISHA WAI KUNUNUA HIYO FIXED LAKINI GAME MOJA IKAZINGUA MWISHONI MATOKEO YAKAWA VICE VERSA NIKA LOOS JE KUNA MTU ALISHA WAI KUTOBOA NA FIXED MATCH YA CORECT SCORE ?????
Cc p didy Mayu deep Pond na woteeeView attachment 1302117
Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 99 ya wauzaji za fixed match ni waongo mi nshapigwa pia Wakenya,Waganda na Wanaigeria sio watu wazuri kabsa...So kwangu hakuna kitu kinaitwa fixed match ndani ya kichwa na muhind huwa akiisi tu kuna dalili za upagwaji wa matokeo huondoa hzo timu chapu sana....Swali dogo tu kama wewe unaweza kununua Kwann muhindi asinunue na yeye ili ajue upangaji wa matokeo ajitoe kwenye vipigo kivali....Tushushe tu mawe ya kubashr.
Sent using Jamii Forums mobile app
Betpawa wameweka za ligi ya China (CBA). zipo game mbili tu zinachezwa saa nane leo. Nishazifanyia kazi, Shandong Gold lion na Zhejiang Ghuangsha wanashinda leo.Kwenye Kikapu game za leo mbona hawajaziweka kwenye list leo?! Yaanj nimecheki Betpawa,Sportpesa,PariMatch...kote hakuna hata moja!!
Hii kiufundi ndo kusemaje?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ananunua fixed sema hapo kama angetusua basi angetoa hiyo 45K then aweke faida kidogo iliyobaki. JAMAA ANAHITAJI KUELIMISHWA MAANA BETTING NI BETTING KWA KILA MTU. HAKUNA MWENYE UHAKIKA HADI AUZE. UKITAKA KUJUA BETTING NI BETTING HATA KHANJI ANAYETOA TIPS HUWA ANABANA P ILI MAMBO YAMNYOKEE!Pole sana. Kwa hiyo unaishia kupigwa Mara mbili. Bora lakini timu moja ilitiki na iliyobakia matokeo yake yalikuwa vice versa kuliko ungeona red mbili kabisa.