wadau kutokana na biashara kua ngumu najua kuna watu wanakula sana na wengne wanapgwa sana kutokana na hlo nngependa leo tujadil kutokana na experience ya mtu mmoja mmoja je n option gn ambayo n nzur kutoa
natambua ya kwamba huu mchezo n bahati nasibu ila nadhani na ufundi pia unachangia xo karibun tupatiane hayo maujuzi

both team to score
goals 2-4
2+
Sikati tamaa hata week day.
Mbavu mbili mimi shida yangu kubwa nimesaidiwa nimefungua A/c ya meridian natumia cm aina ya acer ni android nafungua meridian kawaida ila kitu nachoshindwa nawezaje changanya mkeka maana option nayoiona ni ya kucheza normal tuu mkuu nawezaje pata hiz option nyingine eg 2-4 gg under nk.
Kila siku hapa mnapeana pole.. Kuweni makini msije weka rehani kitobo cha uharo
Over under ndiyo inakuwaje?
Kila siku hapa mnapeana pole.. Kuweni makini msije weka rehani kitobo cha uharo
Kila siku hapa mnapeana pole.. Kuweni makini msije weka rehani kitobo cha uharo
hapa hakuna pole
Naona umepaka mate