mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 320
point 6 izo za uhakika leo
psg win
man city win
atletico madrid win
nimeeka ada wakiila january siend shule
Jamani,mwenzenu nakuja na wazo jipya wazee nawasilisha kwenu tulidadavue.
Wazo lenyewe ni kuwa,kwa kuwa m bet huweka games za leo na kesho,na kwa kuwa kila siku kuna game za uhakika,basi tuwe tunaunda mkeka mmoja ambao utakuwa na timu za uhakika za leo +timu za uhakika za kesho ijapo zina odds chache lakini timu ni nyingi hivyo weka pesa ya kushiba nina uhakika tutamla mhindi.
Wazo la pili,option inayolipa zaidi baada ya uchunguzi wangu ni OVER.
Karibuni tujadili.
Ahhahahadont bet what you cant afford to lose
Ngoja nijaribu
Kampuni gani hyo
Kila siku hapa mnapeana pole.. Kuweni makini msije weka rehani kitobo cha uharo
psg win
man city win
atletico madrid win
nimeeka ada wakiila january siend shule
Psg manina zake
Kwani uliweka nao mkataba kwamba wanashinda??
Jiandae January kutokwenda shule.
Burton-Milwall
4+