Nasubiri kombe la dunia liishe zije mechi za kirafiki
Nasubiri kombe la dunia liishe zije mechi za kirafiki
mechi za kirafiki kama ni za club mbona zishaanza kitambo! kuna siku celtic alicheza na kuban krasdor akanipa pesa ya kutosha alipewa odd kubwa ya 2.6 nikampa anashinda na magoli mawili odd ikaja 2.9, nikaweka laki nikapiga 290. na leo celtic anacheza ila amepewa odd ndogo 1.44, anacheza na dukla.Hata mimi nasubiri sana hizi mechi za pre season na friendly
Ngoja leo nimekula tayari hapa nataka niitumie hiyo hiyo kuzalisha hela nyingine nyingi tukama ni ligi, ligi nyingine tu zipo vizuri ligi ya australia divisheni ndogo, ligi kuu ya ireland zote leo na kesho kuna match nzuri tu za pesa tamu.:cool2:
Ngoja leo nimekula tayari hapa nataka niitumie hiyo hiyo kuzalisha hela nyingine nyingi tu
umekula ligi gani na umetumia kampuni gani mkuu? lakini si ulisema uchezi tena mpaka mwezi wa nane mkuu?
Meridian ndio naitumia.
Hata leo nimeona Fulham anacheza nikaona si mbaya kumpa.
Nilisema sichezi ila hizi friendly matches si mbaya
mkuu friendly match wakati mwingine majanga, wachezaji muhimu huwa wachezi. na timu huwa wanacheza nare-nare kushinda kwao hakuna umuhimu. jana celtic kanichania mkeka wangu yani katoa droo na timu mbovu dukla praha.
Meridian ndio naitumia.
Hata leo nimeona Fulham anacheza nikaona si mbaya kumpa.
Nilisema sichezi ila hizi friendly matches si mbaya
unaweza kubet online?
Hizi friendlies hadi uzibahatishe poa sana vinginevyo utauawa bure
Game za kirafik nyingi majanga. Wachezaji wengi tegemeo wapo likizo maalum ya uchovu wa worldcup. Kwa maana hiyo vikosi vya pili ndo vinachukua nafasi. Mfano mzuri juzi fc basel kaangukia pua kapigwa 4 tena kwake.
man city juzi alipigwa na dundee fc hadi aibu, 2-0Huo ndio ubaya wa hizi timu ila Man city hawezi angusha hivyo
Asanteee angalau nimepata leo.
Jamani leo kuna friendlies nzuri sana karibuni
ndugu hukati tamaa aisee...