Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
psg win
man city win
atletico madrid win
nimeeka ada wakiila january siend shule
Mkeka wa leo unasukwaje wadau??
Ngoja nichungulie Fixture...
Nitarudi..baadae...
Jamani,mwenzenu nakuja na wazo jipya wazee nawasilisha kwenu tulidadavue.
Wazo lenyewe ni kuwa,kwa kuwa m bet huweka games za leo na kesho,na kwa kuwa kila siku kuna game za uhakika,basi tuwe tunaunda mkeka mmoja ambao utakuwa na timu za uhakika za leo +timu za uhakika za kesho ijapo zina odds chache lakini timu ni nyingi hivyo weka pesa ya kushiba nina uhakika tutamla mhindi.
Wazo la pili,option inayolipa zaidi baada ya uchunguzi wangu ni OVER.
Karibuni tujadili.
leo patamu sana naona odds mia za bure bure
leo patamu sana naona odds mia za bure bure
Kuna groups WhatsApp za kubet???
Yeah zipo group za kubet whatsapp huku ni JF
Huo mtaji wa kutenganisha unao? kumbuka kila mkeka utahitaji hela, na jinsi unavyokuwa na timu chache ndio output ya hela inavyokuwa ndogo, na si lazima ukizitenganisha eti ndio utapata , kila pair yaweza kuingiliwa na kirusi maana kirusi hakijulikani kimejificha wapi, na ukajikuta umepoteza kiwango kikubwa cha fedha vilevile, huu mchezo haueleweki na ukila leo usifikiri unaakili sana na kesho ukitumia njia ulioitumia utapata . This is a game of chanceWazo zuri ila timu kubwa saa ingine zinaaibisha mfano psg jana katuua. Leo liverpool nae anaweza kuliza watu. Dawa ni kutengenganisha mikeka yaan badala kutengeneza mkeka mmoja wa timu 12 una tengeneza mikeka 4 ya timu tatu ili moja ikiharibu isiue mingine