Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Let's try.....
 
Attachments

  • 1450302305811.jpg
    9.4 KB · Views: 269
Duh,jana mgodi ulitaka kutema,ila shetani naye kajitukuza maana kucheki payment status nakuta ni invalid hivyo wakarudisha ka elfu 2 kangu,mistake nililipia dakika moja kabla ya mchezo kuanza hatimaye nikakosa mihela yote ile jamani.
 
wakuu kuna odds 8.40 za mbet za bure wamejichanganya game ya GO AHEAD EAGLES V. FORTUNA SITTARD
 
wakuu kuna odds 8.40 za mbet za bure wamejichanganya game ya GO AHEAD EAGLES V. FORTUNA SITTARD

sure kakosea mwenzio primier kampa 1.26
 
Attachments

  • 1450361456254.jpg
    8.3 KB · Views: 239
nishaiwai point 8 kabla ajabadili
 
Attachments

  • 1450362451730.jpg
    38.9 KB · Views: 254
wakuu kuna odds 8.40 za mbet za bure wamejichanganya game ya GO AHEAD EAGLES V. FORTUNA SITTARD

jamaa watabadilisha tu we ngoja ifike kesho asubuh watatoa tangazo hiyo game itakua odds 1.0 ..... Ishatokea mwaka jana kitu kama hicho
 
1. 17.12.15 23:00
Villarreal CF - SD Huesca (Both teams to score)
Customer type: Yes @ 2.15
Result:
2. 17.12.15 22:45
Wolverhampton Wanderers - Leeds Utd (Both teams to score)
Customer type: Yes @ 1.95
Result:
3. 17.12.15 22:30
Dynamo Dresden - FC Kickers Wurzburg (Both teams to score)
Customer type: Yes @ 1.95
Result:
4. 17.12.15 22:30
Standard Liege - KV Kortrijk (Both teams to score)
Customer type: Yes @ 1.90
Result:
 
jamaa watabadilisha tu we ngoja ifike kesho asubuh watatoa tangazo hiyo game itakua odds 1.0 ..... Ishatokea mwaka jana kitu kama hicho

Hawezi fanya ivyo hata goli wamempa go ahead kama goli lingekuwa kwa timu pinzani na odss zingekuwa kubwa ndo wangestuka hapo na kuchange
 
Kwa mfano wakibadilisha itakuaje kwa sisi ambao tushatoa mkeka tayari?

ikitokea wakabadili game inakua kama imefutwa... Hii kitu kama sikosei mwaka jana ktk champions leagua ilitokea juve alikua home anacheza na tim moja kibonde akapewa odds 3 tena akapewa na goli.... Kuamka asubuhi mdosi akachange gia angani
 
Watakuwa wapumbavu wakifanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…