Nimeifuatilia sana hii fixture na kugundua lifuatalo.
Hapa kuna regelation battle. Go ahead hayuko kwenye hatari ya kushuka daraja ile hali huyo mpinzani wake anatakiwa asipoteze hii game.
Nimecheza...nilimpa Nancy, Lazio na Go Ahead...nasubiri muujuza
ila kapewa point ya ushindi 1.89.ila tayari hela ninayo ya mech za jana
Duh,pole bwana,ndo biashara hii ninapoionaga ngumu,labda MATEE naona mkeka wake umetiki mpaka sasa kwa 90% akisubiri mechi mbili tu za leo,ila naye macho yake sijui yalimuingia mchanga maana kamuamini UNION BERLIN wakati rekodi yake ni ya hovyo mno dhidi ya mpinzani wake.
Ila sitakusahau FEYENOORD maana hufai mara 1000
Matee leo vip mkuu
Matee leo vip mkuu
ntatupia mwingine later kidogo ndo nafanya uchambuzi wa point
Wekeni mikeka ya leo maana muhindi anatupiga kinoma
ila kapewa point ya ushindi 1.89.ila tayari hela ninayo ya mech za jana
kuna point uwaga zikitolewa ni hela tu mfano 2.01 ugenin uwaga ni hela ndo alipewa nancy jana kashinda
Feyenoordπ‘:what:
AHAAA,nimejua kwanini Mikeka yote ya Feyenoord imechanika,kumbe na ww ulibeti? maana hiyo ID ni balaaa.
Tehe tehe tehe,just utani at work
Go ahead eagles
FC Eindhoven
Dijon
FC St.Pauli
Sparta Rotterdam
Schalke 04
Southend
ZOTE WIN
Go ahead imefutwa haipo m bet hapo inakuwaje
Vipi umeshilipia? Kama umeshilipia haina neno kama bado suka mwingine