jumapili, mancity na Arsenal. Ngao ya jamii
andybird314 hii game tuiache aisee haijakaa sawa kabisa.... mambo ya kulala wima ligi hata haijaanza sio kabisa yaan...Hapo nampa Mancity 100000
Najua atashinda tu
Haya kwa taarifa ni kuwa Ligue 2 France inaanza leo onyo, usibet na hizi timu za France maaana ni majanga kuliko
Nimebet mbili auxere na nancy
Haya kwa taarifa ni kuwa Ligue 2 France inaanza leo onyo, usibet na hizi timu za France maaana ni majanga kuliko
Leo najaribu yale mambo ya Nokia nataka zipa timu zenye odds ndogo mfano 1.2 vs 11aisee hii league 2 msim uliopita ilinipa sana hela hasa ktk GG
Leo najaribu yale mambo ya Nokia nataka zipa timu zenye odds ndogo mfano 1.2 vs 11
Timu zip mkuu
Ztaje
Ligi ya kupiga pesa za cap ni Estonia na Ireland...jaribuni kuzifuatilia.
Leo afe muhindi au nife mm naona ngoma ipo wazi sana leo
Dah mie mhindi sijawahi mpatia hata siku moja
Au lazima umpigie simu mhindi
Wiki iliyopita nmemla laki 2 kwa mkeka wa buku 2
Leo mzigo kwa gunnerz,spurz,psg
Naona mama Gunners wanaweza zingua leo
Ndg. Nipe ka-tuition namna ya kujiunga na hii kamari ya ku-bet make nina vihela vinaniwasha. Kuliko kuhonga malaya bora nivitupe huko.