Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya kwa taarifa ni kuwa Ligue 2 France inaanza leo onyo, usibet na hizi timu za France maaana ni majanga kuliko
 
Ligi ya kupiga pesa za cap ni Estonia na Ireland...jaribuni kuzifuatilia.
 
Leo afe muhindi au nife mm naona ngoma ipo wazi sana leo
 
Ndg. Nipe ka-tuition namna ya kujiunga na hii kamari ya ku-bet make nina vihela vinaniwasha. Kuliko kuhonga malaya bora nivitupe huko.

Duh mimi mwenyewe pitia comments zangu mie sijawahi shinda.
Ila cha kwanza kabisa soma hii thread kuanzia mwanzo utaelewa.
Pili bet what you can afford to lose.
Tatu follow your instincts maana kuna vitimu unaweza ona vimepewa point chache ila ndio vinashinda.
 
Back
Top Bottom