Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nimejaribu kuvizia corner naona kama nitapigwa. Wewe unaanza kuvizia kuanzia dakika ya ngapi kipindi cha kwanza au cha pili?
Kipind cha kwanza navizia kuanzia dk ya 34

Full time navizia kuanzia dk ya 70
 
Chukua normal account tu. Debit account
Naona App ya Standard Chattered inamigomea katika simu yangu, haya maelezo yao ya ku restore simu kuna ugumu, njia gani nyingine niitumie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…