Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli kabisaa hii mambo sio kabisaa michezo ya kwenye fesibuku hio na whatsapp ..tupia mkeka kabla ya mechi kama hukutupia na mkeka ukatiki vunga arifu haina aja ya kuleta hapa.
 
Kuna mda mtu anaomba possible ya siku mapema kabisa lakini hadi mechi zinaanza hamna possible iliyoachiwa afu utashangaa kesho yake mtu anakuja na mkeka aliokula...sasa hii inakuwa ni dharau au vip watu wameomba mapema kuwa kama mtu ametengeneza possible pasi adondoshe watu tuuchambue au aufuate na sio kuwa mtu akiufuata ndo utakosa ndugu yangu..kama umetiki utakula tuu hata kama umegawa possible yako kwa watu 300 na mhindi hana husda anawapa pesa yenu...lakin haya mambo mengine achia vijiweni kwenu na ukija hapa njoo kwa lengo la kusaidian na mwenzako yule ambaye anapigwa kila cku apate kula
 
Huku ndani watu msilalamike watu wa ma group ya whasap ndio walianza bala ya kutengeneza mkeka wanataka ma group je hiyo hamuioni
 
Mkuu najua sometimes inakera but wengine tunapendelea timu 2 au 3.
Mkeka wa timu 7 au 10 mtihani at the end of the day tunaishia sema "ayaaaa timu 1 tu imeniangusha" [emoji13] [emoji1]
 
Tatizo whatsapp imekuja na uchoyo fulani hivi, hapa adui yetu mmoja ila ndio pale mmoja akimpiga adui wengine huona wivu mdo maana hawataki shea mbinu za kumuua adui.
Siku hizi kila mtu kimya kimya hadi wale wa whatsapp waseme poo
 
Kana Wamura bheitu kana Mimi sioni suara Ra kughombana hapa Rijambo Ra kufanya bhamura hapa tusuluhishe hiri riconflict riishe afu Maisha yaenderee . Ukiwa na ripossible ritume afu na wamura wengine wajaribu Kana unaficha ficha Ra nini.
 
Nimekemea sana minamba ya kuungwa whatsapp hapa jamvini,lakini mijitu haiambiliki,hapa pana mengi jamani na tuamke sasa tuache ya nyuma tuelezane yanayofuata la sivyo mhindi atatuua.
 
Oklahoma v Orleans... Under 222.5 odds 1.58
Milwaukee v Washington.... Under 214.5 odds 1.52

ODDS 2.4

OKC wanacheza kwa sifa sana, nakushauri uwape over 57.5 half 1.

Hiyo game ya Milwakee vs Washington Wizard tuko pamoja.
 
Istanbul [emoji102]

Leo nimemuamini,coz kamfunga mwenzake mara 3,yy kafungwa mara 2,hawajadraw hata mara 1,Istanbul yupo nafasi ya 4 na ana good record of home matches wakati mpinzani wake yupo nafasi ya 10 na hana good record of away matches.The last point ni,odd aliyopewa ISTANBUL mara nyingi inatoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…