Dah hata sijaangalia account zangu najua kilio tayari. Nikiwa Goba nikapokea sms hii leo ningempa Arsenal ningekuwa nishakula hela.... hapo nikajua arsenal kaua mtu nikajua hela yangu byreee.
Yaani mikeka kumi imechanika kisa Arsenal,dortumnd

Naona monaco anamalizia kuchana mikeka
Derby , pogon , esberg, odessa, starjnan cap na orgryte cap..
Nimeogopa
Nimeogopa
Umeogopa nin mkuu
Wewe unaona alichofanyiwa Man City jana ni kitu cha kawaida kwa wafanyabiashara.?
Heheeheheehe
pogon...orgyte...odessa...derby...starjanan...efsberg...... napiga hesabu kwa 6000 unapata120000...... ipi ya kuikimbia ....
Yaani sasa ili kupunguza risks za kupigwa ni bora uwekeze katika idadi ya magoli per match i.e 3+, 2+ nk na sio nani anafungwa.
Hiv mbna meridian kweny cmu yangu inazingua kufunguka