Tottenham wanaharibu mkeka mkuuLeo nimeweka kilo maombi yenu ya muhim
Ahsante sana kiongozi kwa ushauri unaotupabest option to play
1.1-2 goal 1st half
2.1-2 goals 2nd half
3.NGNG
4.GG
5.Goal both half
6.2-4 goals
7.HWO/AWO-Home/away team does not lead either half
8,HWI/AWI-Home/away team kushinda kipindi kimoja tu na kipindi kingine kutoka droo.
9.
Acha tu yani daaaaaaabayern daaahhhh leo kauwa watu wengiii....
Mkuu hongera sana nimekufuata sema tatizo sikuweka huge stake ninge cheka leoReal Madrid
Athletic bilbao
Dortmund
Sevilla
Man utd
Arsenal
Psg
Hizi mechi zisiwe na sare.... Double chance 12
Odds 3.05
Inategemea umewapaje..... Kupunguza risky siwekagi ushindi kwa mtu.... Naweka ashinde yeyote.... Alienifata ameamka anacheka..... Timu hizohizo ungewekea normal arsenal angeua.....Ndomana nasemaga kula bahati hakuna kanuni unaweza kuweka timu nyingi ukala na ukaweka tinu chache ukachana mkeka
Kati ya hizo timu chache za kuweka nani hajampa spurs, au arsenal au bayern au man city?
ndio uzuri wa double chance haiwezi kukuangusha kila siku,mfano jana katka timu ulizo ziweka match 2 zilitoa droo.but leo katk ligi zote kubwa ktk mach 18 zilizochezwa ni mechi 1 tu ya celta vigo vs villareal ndio wametoka draw.Inategemea umewapaje..... Kupunguza risky siwekagi ushindi kwa mtu.... Naweka ashinde yeyote.... Alienifata ameamka anacheka..... Timu hizohizo ungewekea normal arsenal angeua.....
HAHAAAAAAAAA....NLIWEKA POINT 3 HUMU.... ZIMETIKI DOUBLE CHANCE.....NASUKA WA JUMAMOSI....NAUTUPIA MDA SI MREFU...SIO LAZIMA UCHEZE KILA SIKUHahahahahaha kwa matokeo ya jana kuna mtu kala humu hahahaha nimecheka sana matokeo ya jana
Mi nlibet normal ambayo mkeka ulichanika Na nyingine single bet ya man u ambayo ilinipa kifuta machozi 8000Hahahahahaha kwa matokeo ya jana kuna mtu kala humu hahahaha nimecheka sana matokeo ya jana
hahaaaa, eti bashiri nyepesiHahahaaa mkuu nacheka sio kwamba nakucheka ila mambo ni magumu sikuhizi. Hii biashara imekua ngumu. Ni option nyepesi kama utafanya uchambuzi mzuri na kujua ni timu gani zitafungana yaani kila timu lazima ipate goli. Na kama utaweka timu chache kama 2 au 3 na kuweka stake kubwa basi itakua vema. Ila kama utaweka treni basi itakua kila siku ni kilio.