Hahahahahaha kwa matokeo ya jana kuna mtu kala humu hahahaha nimecheka sana matokeo ya jana
Point... ila wengi wao wanatumia hela zenye matumizi mengine mfano tution fee au mkopo ili kuzalisha zaidi. kivyovyote huyu mtu hawezi kubet for fun, ili kubet for fun ni lazima mtu atumie pesa za ziada ambazo haziadhiri hata ukimangwa.wadau mimi nashauri mtu uki bet, bet for fun, sio unabet eti ndio upate kipato cha kufanyia ishu zako, utakufa kwa pressure
wadau mimi nashauri mtu uki bet, bet for fun, sio unabet eti ndio upate kipato cha kufanyia ishu zako, utakufa kwa pressure
Point... ila wengi wao wanatumia hela zenye matumizi mengine mfano tution fee au mkopo ili kuzalisha zaidi. kivyovyote huyu mtu hawezi kubet for fun, ili kubet for fun ni lazima mtu atumie pesa za ziada ambazo haziadhiri hata ukimangwa.
kumanga raha sana... ila kumangwa daaah
U bet for fun wakati ni hela inatumika na muhindi yeye anaingza tu!wadau mimi nashauri mtu uki bet, bet for fun, sio unabet eti ndio upate kipato cha kufanyia ishu zako, utakufa kwa pressure
weka buku, buku mbili n.k ukiwa unatupia 20,000, 30,000 au 50,000, eti kwa "mechi za uhakika" utaumia sanaU bet for fun wakati ni hela inatumika na muhindi yeye anaingza tu!
Kana Tata Nimeipenda MURA WEITUMkuu ubaya ni kwamba, wewe unabet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza pesa. Hakuna kitu kama kubet for fun. "Betting means bussines.!", suala la kusema bet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza faida kwangu hakuna, Ama zangu ama zao. Sema tuu la msingi ni hili " Bet what you can afford to loose " otherwise unaweza aibika one day ukaonekana huna maana.
betting ni business ambayo yule anaye bet always ni loser in the long run,Mkuu ubaya ni kwamba, wewe unabet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza pesa. Hakuna kitu kama kubet for fun. "Betting means bussines.!", suala la kusema bet for fun wakati makampuni ya betting yanatengeneza faida kwangu hakuna, Ama zangu ama zao. Sema tuu la msingi ni hili " Bet what you can afford to loose " otherwise unaweza aibika one day ukaonekana huna maana.
Hutaliwa tena unaacha betting au?I swear sitaliwa tena
Mkuu kikubwa mimi naona issue siyo betting for fun or for business kikubwa tufanyeje ili tupunguze makofi ya kanji? Kwani hata kama unafanya for fun huwezi kuinjoy kila siku una loseBetting is fun
Betting is Business kuna watu wanaishi kutokana na betting tu
Sisi wengine twafanya kama sehemu ya mchezo ndo maana twampa Chelsea sababu tu ni mashabiki wa Chelsea
Betting is good and bad hii yategemea na unabet ili iweje
Msitumie Ada kubet mtajuta maisha
Mwisho
The House Always win
Nabet kama kawa ila siliwiHutaliwa tena unaacha betting au?
Mura achana na Hiro RiArsenal Wajarumani wale Tata Yan Leverkusen na Bayern Munich kana warinirarua Vibaya sema kwa vile Mimi PIA Ni Ing'ang'a Siwezi kukatama Hyu Muhindi IPO siku yake Ntampasua Panga la Mirioni kadhaaBeeting imekuwa ngumu hasa jana arsenal kufungwa alikatisha watu wengi tamaa
betting ni business ambayo yule anaye bet always ni loser in the long run,
anayeweza kufanya betting ikamlipa kama business ni yule bookmaker,
wewe mteja wao ni guaranteed loser kama utaifanya iwe ndio ya njia kukuingizia kipato