Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Utaikopi saa ngapi wakati wakila ndio wanasemaItabidi tukopi mikeka yao tu.
7 katika 9 zimetoa.... ila kaka Root alionya kwa bucharest..... haina mbaya.... napunguza idadi mpaka mechi7...sifiki tena 9.... ikikataaa tena nashuka mpaka 5.... point 4 haukosi....
Jamani mimi naombeni maelekezo namna ya kucheza single bet. Mimi nimekomaa tu M bet ambayo ina option chache lakini naona kuna watu wanaweka mikeka humu sijui hata imetokea wapi
Hujitambui wewe...... Hauoni mikeka tukiiweka eti..... Ndio mnakatisha tamaa watu mpaka hawaweki maana ukiweka majungu usipoweka majungu.... Bila shaka ni wa watsapp wewe... Kama unadharau hauipitiii ni wewe....... Rudi watsapp hukoUtaikopi saa ngapi wakati wakila ndio wanasema
Mtoto wa inzi achana na hawa watu wasio na haya yaaani hawaoni michango mnayotoa humu wanataka viwassap vyao tu daaa hapana Mtoto wa nzi tunakutegemea jukwaani usipotee huko inbox sio kabisaIli lisemwalo litimie.... Acha tusiweke tu sasa....... Ukiweka shida usipoweka shida.... Unafatwa inbox mpaka unakoma.... Ukirudi kwenye uzi napo shida..... Mbona wengi tu wanaivunja wanakula.... Kuna raia shukran ni SIFURI.... Wenye nia na kuona mchango wangu watanifata inbox kama hawa.....
Hujitambui wewe...... Hauoni mikeka tukiiweka eti..... Ndio mnakatisha tamaa watu mpaka hawaweki maana ukiweka majungu usipoweka majungu.... Bila shaka ni wa watsapp wewe... Kama unadharau hauipitiii ni wewe....... Rudi watsapp huko
e banaee raha ya kubet mechi ujichagulie mwenyewe banaaaHapa ndani ukiweka mikeka watu hawafati au wanaongeza na yao
Siku ukishinda uweke hapa utajuta kwanini uliweka maana watu wanatoa matusi kweli
Sio kila kinachowekwa hapa mhusika anachukua timu zote, watu wanachukua timu chache sana
Walianza na whatsapp yao wakatuvuruga sasa wanarudi na kulalamika
Ila bora bro ufanye yako pembeni maana mwisho wa siku ukipoteza wanakulaumu au kukucheka
labda tatizo ni yeye kuwa mtoto wa nziMtoto wa inzi achana na hawa watu wasio na haya yaaani hawaoni michango mnayotoa humu wanataka viwassap vyao tu daaa hapana Mtoto wa nzi tunakutegemea jukwaani usipotee huko inbox sio kabisa
Hahahahahahahalabda tatizo ni yeye kuwa mtoto wa nzi
Mdau.... Unapoweka mkeka haumlazimishi mtu....na huu uzi ulianzishwa kwa dhumuni la kuchangia na kuchambua mechi.... Ukaweka timu Kadhaa unazoziamiani mwingine anaweka zake... Mnajadili mwisho wa siku.... Kila mtu atacheza kwa mawazo yake.... Na mtu akiweka timu 7 9 12.... Haukazimishwi kuchukua zote tafuta zile instincts zako zimechagua... Hakuna anayekuchezea unacheza mwenyewe.... Hata unaposema raha ya kubet ujichagulie mwenyewe ni yale yale kukataa ngano ukala chapati..... Bila shaka unawapitia watabiri mbali mbali duniani hapo haujajichagulia umechaguliwa.....labda tatizo ni yeye kuwa mtoto wa nzi
Root hawa watu wa WhatsApp ndio wamekuwa tatizo kwenye huu uzi yaani hawaishi vitukoHapa ndani ukiweka mikeka watu hawafati au wanaongeza na yao
Siku ukishinda uweke hapa utajuta kwanini uliweka maana watu wanatoa matusi kweli
Sio kila kinachowekwa hapa mhusika anachukua timu zote, watu wanachukua timu chache sana
Walianza na whatsapp yao wakatuvuruga sasa wanarudi na kulalamika
Ila bora bro ufanye yako pembeni maana mwisho wa siku ukipoteza wanakulaumu au kukucheka
Mkuu hayo ndio maneno ya busara. Ukiacha kupost ukawaogopa itakua sio vema. Daima sintokata tamaa. Nitapost tuWametukuta hapa watatuacha kama si kifo kutuchukua tutabakia hapa hapa
No , Masela acheni Urumbi bana tuweke Strategies za kupambana na sio tija kwa ugomvi. Mtoto Inzi, Root,J Aggey, Real G N.k Haina sioni tija ya Urumbi Bhamura bheitu Tujipange na Kupeana Mawazo juu Hyu Muhibdi tumpigeje Au sio Wazee Samahani lakini Kana naweza kuwa nimewakera kwa kutaja Ids Zenyu.Root hawa watu wa WhatsApp ndio wamekuwa tatizo kwenye huu uzi yaani hawaishi vituko
Wametukuta hapa watatuacha kama si kifo kutuchukua tutabakia hapa hapa
Waweza kutoa Cork City ukaweka watoto WA Ajax IITODAY
Austria Klagenfurt win
Sparta win
Gent win
Cork city win nataka niweke 100,000 ushauri wadau
Hamna kero mkaruka... Wote ni wamoja.... Shida inakuja hawa raia wa wasapuni.... Mdau kama ingekuwa ni kuwahanya hao wanatuvunja mioyo huu uzi ungekufa kitambo.... Miaka mi3 sasa tangu huu uzi uanzishwe.... Wamekuja wameenda.... Wamewasapika wamerudi.... Sisi tupo tu.... Tumeshatukanwa humu.. Dharirishwa kwa maneno ya kejeli tupo tu.... Haijalishi... Ila kwa kuwa wote binadamu na tena tuna nyongo inabidi inafika hatua unakaa kando kidogo uache kizazi cha Mzeee wa Msoga kijiachie..... Maana katika vizazi vyoote kizazi cha Mzee wa Msoga na mwisho mwisho wa Bwana Bepari... Acha sisi wa Ruksa na Kifimbo tuwe wastaarabuNo , Masela acheni Urumbi bana tuweke Strategies za kupambana na sio tija kwa ugomvi. Mtoto Inzi, Root,J Aggey, Real G N.k Haina sioni tija ya Urumbi Bhamura bheitu Tujipange na Kupeana Mawazo juu Hyu Muhibdi tumpigeje Au sio Wazee Samahani lakini Kana naweza kuwa nimewakera kwa kutaja Ids Zenyu.