Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi ngoja nikae kimya kwanza kwa mwendo huu nahisi hali itakuwa mbaya. Ngoja nitulieeeeeeeeeee
 
greatfurth,viking gota cap, lask liz cap sluu plus pogon,cluj normal. Wale wachaga weka jero tu mzigo unakuja laki na nusu hivi kwa muhindi. Wale wenzangu wa buku twende kazi
 
greatfurth,viking gota cap, lask liz cap sluu plus pogon,cluj normal. Wale wachaga weka jero tu mzigo unakuja laki na nusu hivi kwa muhindi. Wale wenzangu wa buku twende kazi

Dahhhh jana nilizipanga mechi 12 imeharibika moja tu.. Imeniumaje laki 8 ile
 
Nishawaambia ndugu zangu, weka team 3-5 and then dau kubwa... kama hilo tatizo kwa siku weka game moja ya uhakika na endelea kudouble ikifika jpili unacheka,
 
Nishawaambia ndugu zangu, weka team 3-5 and then dau kubwa... kama hilo tatizo kwa siku weka game moja ya uhakika na endelea kudouble ikifika jpili unacheka,

hahaha hata mie naweka timu 3 au 2 coz ligi bado mbichi
 
Weken mkeka wa carling cup mechi zimeanza jana leo ndio zipo nyingi
 
Mimi nimeka kimya hapa no maneno.
Kama Arsenal alifunga Man city, Monaco akafungwa na timu yrnye odds 8 basi betting ni mama mkwe
 
Inafunguka but inakupa option ya win draw win no other option

Sent from my iPhone using JamiiForums

C kwel mkuu maana me natumia meridian kwenye simu inakupa option zote cha msing click kwenye hyo game itafungua option zote
 
C kwel mkuu maana me natumia meridian kwenye simu inakupa option zote cha msing click kwenye hyo game itafungua option zote

Nilikuwa sijawahi kujaribu kuclick kwenye game na kupata option zingine,thanks.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wakuu hivi hawa i play 8 wamekuwaje yan nmewithdraw pesa juzi dola 68 wamentumia msg et your with draw hav been cancel ur
bonus should playout mpka dola320 sasa nfanyej na hii sheria imeanza lin tena
 
Wadau mimi sijui kubet kwa official ways nielekezeni maana nimebet vichochoroni sana sasa nataka ni bet rasmi
 
Hao #iplay8casino hawana ishu mi nimesahau password ndani yake na mzigo wa kutosha wameshindwa kunirudishia password. Sasa hela zangu ndo zimepotelea huko. nimeamia #bwin no presha
Wezi tu hao ofisi zenyewe hazijulikani zilipo

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unajua mie huwa inanishinda kuweka dau kupitia mobile kwa meridian hadi niswitch kwenye web format.
Je wenzangu mwafanyaje
 
wakuu hivi hawa i play 8 wamekuwaje yan nmewithdraw pesa juzi dola 68 wamentumia msg et your with draw hav been cancel ur
bonus should playout mpka dola320 sasa nfanyej na hii sheria imeanza lin tena

Mimi mwenyewe nime draw pesa jana up to now no pesa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wakuu hivi hawa i play 8 wamekuwaje yan nmewithdraw pesa juzi dola 68 wamentumia msg et your with draw hav been cancel ur
bonus should playout mpka dola320 sasa nfanyej na hii sheria imeanza lin tena

Tatizo ni kuwa ulitumia bonus kuchezea hivyo inatakiwa hiyo bonus izae hiyo hela waliyotaja ndio utaweza withdraw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…