Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba unielekeze vzr hii ngumu kumeza inachezwaje?
 
Naomba unielekeze vzr hii ngumu kumeza inachezwaje?
Unabashiri kipindi cha kwanza na cha pili
Mfano kipindi cha kwanza kiwe sare na cha pili kiwe sare x/x

Kipindi cha kwanza sare cha pili wa nyumbani ashinde x/1

kipindi cha kwanza sare cha pili wa ugenini ashinde x/2

kipindi cha kwanza wanyumbani aongoze chapili mechi iishe sare 1/x
Ni hivyo tu options zipo nyingi siwezi kuandika zote ila umepata picha inavyokuwa
 
Poa poa nmekupata shukrani sn
 
Ni zp izo?
Kipindi cha kwanza wanyumbani aongoze kipindi cha pili waugenini arudishe mechi iishe sare 1/x odds 15
Kipindi cha kwanza waugenini aongoze kipindi cha pili wanyumbani arudishe mechi iishe sare 2/x odds 15

Kipindi cha kwanza wanyumbani aongoze kipindi cha pili waugenini arudishe na ashinde 1/2 odds zinafika hadi 30 inategemea na timu

Hizo ndio zina hela ndefu
 
ROOT & MTOTO WA INZ, leo tunatokaje? maana wengine tunagundu sijawahi bashir peke angu nikashinda. nasubir mchambue nicopy kwenu
 
Kila nikiziangalia game za leo hata sizielewi, na hiyo option unayotaka ww lazima ujue pumzi zao sasa kama timu huzijui vzr ngumu sn kula
 
Chambua hapa.

Espanyol vs Rayo Valecanno 2+
Clermont vs Metz 1x
Rio Ave vs Estoril 1x
H. Beer Sheva vs Sakhnin 2+
FC Nordsjaelland vs FC Midtjylland 12
Cesena vs Salernitana 1x
Ittihad Al Shorta vs Al Masry 2x
ENPPI vs Smouha SC 12
Freiburg vs RB Leipzig 2+
St. Gallen vs Grasshoppers 2+
 
Nimeingia Meridian (football) naona kuna kitu inaitwa Meridian Premier League kaweka baadh ya teams na kuzipa odd kubwa ila kuna option chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…