Hii nimeitoa kwa website inaitwa www.betensured.comInaitwaje Hii mjomba
Both team to score haiangalii suala la nani kashinda, kinachoangaliwa ni kila upande upate goli basi... Hata wakitoka sare 1-1 umempulusaanyway nilimaanisha nabet vipi mkeka wa both team to score, na ili nishinde matokeo yaweje? mfano ni kwamba team niliyoipa ina odds kubwa then ikafungwa 4-1 je nakuwa nimepuna?
Hapo huipi timu hapo unabet mechi hiyo kila timu ipate goli haijalishi nani kafunga au sare kinachotakiwa wote wapate golianyway nilimaanisha nabet vipi mkeka wa both team to score, na ili nishinde matokeo yaweje? mfano ni kwamba team niliyoipa ina odds kubwa then ikafungwa 4-1 je nakuwa nimepuna?
Nakufatilia mkuu nishapata mbili zikifika tano natoa mkekaCardiff City haijapoteza ktk mechi 12 mfululizo alizo cheza nyumbani, Ameshinda 9, Sare 7 na amepoteza 1 kwa ujumla wake.
Leeds United wameshinda mechi 1 tu Kati ya mechi 5 alizo cheza hivi karibuni, na hawajashinda mechi 4 mfululizo walizo cheza Ugenini.
Sina hofu hata yenye mithili ya chembe ya Haradali kama Cardiff City anashindwa.
Cardiff City to WIN
Lakini odds si zinatofautia kampuni na kampuni, je hizi unazozungumzia ww ni zakampuni gani? Yupo jamaa mmoja yeye wala hasumbuki na historia wala rekodi yeye anacheza na odds na anazijua sn aliniekeleza nikaona ngumu wala sijazifatilia ila ww unavyosema hivi umenikumbukusha kituMtoto wa nzi.Kwa formula yako hiyo ya kuweka odd chini ya moja na uzidishe kwa 100%,nina mashaka nayo si kidogo,mfn.odd ya 1.41 hutoa draw kwa 80% na hapohapo ukitumia kanuni yako inaonekana ina ushindi kwa 70% kitu ambacho si kweli.
Labda wadau tupaen3 task moja ya wiki 2 kuzichunguza odds zifuatazo na uhusiano wa matokeo.
HOME TEAMS WINNING ODDS 75%
1.69,1.65,1.51,2.10,1.79
AWAY TEAMS WINNING ODDS 90% NI 1.95,1.51,2.07,1.83
DRAW 85%
Home teams odds,1.41,1.62,1.94
Away teams odd 1.90,2.1,1.85
Nadhani kila atakaye tilia mkazo kwa wazo hili,atakuja na ukweli fulani na msimu huu utaisha vizuri.
View attachment 328172 View attachment 328173
Jaman hii ni business kama business nyingine, mtu kafanya Turbo uko....
Ntacopy mkuuKesho
Arsenal
Wolfs
Real
All win
brighton au cardiff anauaLeo nimeona timu hizo
Cardiff Win
Brighton Win
Vfl Wolfsburg Win
Real Madrid Win
brighton au cardiff anaua
Hapo huipi timu hapo unabet mechi hiyo kila timu ipate goli haijalishi nani kafunga au sare kinachotakiwa wote wapate goli
Hapo huipi timu hapo unabet mechi hiyo kila timu ipate goli haijalishi nani kafunga au sare kinachotakiwa wote wapate goli
Tupo pamoja mkuu usiwaze, letu moja kama unaswali linakutatiza uliza usisite hata sisi uwa tunauliza hakuna anayejua kila kituThanks, nimejikanyaga na swali umenielewa umenijibu, ubarikiwe