Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi pre-season games jamaa hawazipi umaana mkubwa...Utashangaa Kanjibahi anakupiga tu...Jumamosi mpango mzima..

Huyo kanjibai nimekula kwake 9000 tu yaani faida 500 tu kwani aliwahi kula 8500
 
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yangu ya meridian kwa M-pesa ila nasikia kuna hitilafu huu mtandao wa voda kwenye mpesa.. Nitumie jina gani wakati nafanya malipo mfano jina langu kamili au email? Kuhusu kupiga huduma kwa wateja meridian siwezi coz mie Kiziwi nahitaji kutuma kwa meseji tu
 

Soma nyuzi za nyuma kuna maelezo
 
dah...jana mzee tromso na fc basel wameua sana....... leo nawaza hivi wakuuu......hapo vp....
 

Attachments

  • 2014-08-15--04_04_14.png
    9.6 KB · Views: 111
dah...jana mzee tromso na fc basel wameua sana....... leo nawaza hivi wakuuu......hapo vp....
mkeka poaaa sana, ila limerick na athlone nawahofia wanaweza haribu sherehe,
dundalk anaweza fosiwa drwa au athlone naye anaweza fosi draw au akampiga kimoja mzee shamrock,
anyway amini moyo wako
 
Kwa wale Wa ''premier betting " tupie mikeka yenu ya Leo .. tuone ikoje ..
Ahsanteni.
 
Kwa wale mnaofanya Sport betting lakini kupitia Premier betting sport .

Mnaonaje Kikawa kiwanja chetu cha kubadilishana mikeka , na kusaidiana kutabiri ?

Ukizingatia Ligi ya Uingereza kuanza Kesho / Jmamosi . ? .

Karibuni wote .
 
Hii kitu imewaingia sana vijana yaaani wengine wameweka kama ni ajira kabisa, Mi hata sijui mkuu labda kupitia huu uzi nitajua wanafanyeje
 
Hii kitu imewaingia sana vijana yaaani wengine wameweka kama ni ajira kabisa, Mi hata sijui mkuu labda kupitia huu uzi nitajua wanafanyeje

Ni kweli,idadi kibwa ya watu wanafanya betting ,kila mtu akiwa na style yake na matamanio yake . Wako wanapenda kuweka ,wakiwa na Lengo la kuongeza hamu ya ushangiliji .. yaani Ladha ya kuangalia mechi inaongezeka na wako wanaobett kujikwamua kipato .
Hivyo wako wa aina tofauti tofauti .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…