YouTube
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 936
- 361
Pole sana mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huo ndo uoangaji matokeo unavyokuwa tehhhhh
imeniuma sana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huo ndo uoangaji matokeo unavyokuwa tehhhhh
Nasubiria hii week ya epl. Hizi nyingine nimetulia tii maana nikilio
Hizi pre-season games jamaa hawazipi umaana mkubwa...Utashangaa Kanjibahi anakupiga tu...Jumamosi mpango mzima..
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yangu ya meridian kwa M-pesa ila nasikia kuna hitilafu huu mtandao wa voda kwenye mpesa.. Nitumie jina gani wakati nafanya malipo mfano jina langu kamili au email? Kuhusu kupiga huduma kwa wateja meridian siwezi coz mie Kiziwi nahitaji kutuma kwa meseji tu
dah...jana mzee tromso na fc basel wameua sana....... leo nawaza hivi wakuuu......hapo vp....
Tatizo linakuja hao jamaa wanapewa Odds ndogo ila unashangaa wanapigwa goal nyingi!
mkeka poaaa sana, ila limerick na athlone nawahofia wanaweza haribu sherehe,dah...jana mzee tromso na fc basel wameua sana....... leo nawaza hivi wakuuu......hapo vp....
Sasa hakuna siku ya Pesa Kama Leo....
Wazee tuoni mikeka yenu ya Leo ..
" premier betting ."
Hii kitu imewaingia sana vijana yaaani wengine wameweka kama ni ajira kabisa, Mi hata sijui mkuu labda kupitia huu uzi nitajua wanafanyeje
Kweli mdau......unampacap kapigwa yeye.....