Mwamlishe wewe si ndio boss wakeHivi ww jamaa wa vinamba vya whatsapp umekosa nn hapa jukwani?,mbona mnakuwa kama mwanamke malaya anayetunza na mmewa kwa kila akitakacho lakini haachi umalaya? ,au nyie mwafananaje labda coz nawamithilisha na mtu mwenye masikio makubwa halafu asisikie kinachoongelewa.
Kuweni na adabu mnapoambiwa na ninadhani sasa MAXENXE MELLO umefika wakati wa kuwapa amri moderators wako kutoa ban sa faster kwa wenye vinamba hivyo maana wanachafua sana hali ya hewa hapa jamvini.
Mkuu mikeka ya hockey uwe waileta basii.... ligi ya marekani yaani NHL ni ngumu kidogo ila ndio ina odds kubwa.Dau unaanzia mia... options zipo nying we angalia mkuu.. niliweka 5,000 jana nimekula laki na kitu.. n nzur mkuu.. sema league ya USA inaonekana haitabirik..
Toa Metz weka Eindhoven au Telstar mkuu.Kwa ngumi hii kama namuona muhindi akikohoa damu.
-Fc st.Pauli
-Sparta rotterdam
-Nac breda
-Metz
-Slavia praha
-Malaga
-Monaco
-Piast gliwice
-Juventus
-Ranges
ALL TO WIN
Ukishachagua, subiria kidogo, then angalia chini kabisa, utaona idadi ya Tim ulizochagua. Then click hapo. Hii ni iwapo watumia sim but kwa computer, inajionyesha kabisawakuu mnaotumia mkeka bet,naombeni msaada mbona najaribu ku select mechi lakini kwenye betslip inakuwa haionekani ila kwenye list inaonyesha nimisha ichagua?
pia inaweza kuonekana kwenye betslip ila nikitaka ku place bet haiiji
kama unatumia operamin jaribu kutumia browser nyingine hata ile iliyokuja na phone uone matokeo...wakuu mnaotumia mkeka bet,naombeni msaada mbona najaribu ku select mechi lakini kwenye betslip inakuwa haionekani ila kwenye list inaonyesha nimisha ichagua?
pia inaweza kuonekana kwenye betslip ila nikitaka ku place bet haiiji
Mtoe nancy weka sparta rotedam na vvvUkila na Mimi nimekula, nakufuata mkuu
Poa mkuuu hockey inalipa mkuuu..sema unatakiwa uweke humongous stake chief...Mkuu mikeka ya hockey uwe waileta basii.... ligi ya marekani yaani NHL ni ngumu kidogo ila ndio ina odds kubwa.
Duh..St Pauli keshachana yote.
Kapigwa 3:4Kapigwa?
Hehehe..noma tupu, tujipange tu leo nayo siku.Monaco mshenzi sna aisee